Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Vipi kama mwanamke akianza yeye kukupiga?
 
Hakuna kitu nisichopenda kama tattoo, napenda kuona birthmarks tu nasio mitattoo kwenye mwili asa wa mwanamke
 
Acha unafiki wewe MUSINGA.
unamnafikia mwanaume mwenzako huo ni uwaki, kwamba Shilole anaenda kwa Roby one ananunu boxer za kiume na kukwambia ni za uchebe?
.
ama kweli wanaume wa Dar wapo
Nisome vyema sio unafiki,anaenda nae na hiki kijamaa kilichagua kilichoipenda Shilole aliikataa hakuipenda,nisamehe kama nimekukwaza lakini
 
Nisome vyema sio unafiki,anaenda nae na hiki kijamaa kilichagua kilichoipenda Shilole aliikataa hakuipenda,nisamehe kama nimekukwaza lakini
Muongo na Mchawi ni watu wa kuchomwa.
 
Eti akipigwa anasikia rahaa[emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Ukileta ushubwada lazima upigwe , tena kipigo heavy.
Muulize Rihanna anakikumbuka kipigo alichopewa na Chris Brown
Na baada ya kipigo huon ina mgharimu had leo? Grammy na Oscar anaishia kuziona kweny Tv, wakat yeye uwezo wa kuchukua anao. Poleeeeeh san
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf taha san lol
 
All in all hamna haja ya kumpiga mwanamke kiasi hicho.
Mmekutana mkiwa watu wazima kila mmoja akiwa na tabia zake,kwa hio kama mahusiano hayaendi kama ulivyo tarajia ni wewe kuondoka ukajaribishe na kwengine eti.
it shouldn't always have to work out,
 
Wee jamaa akili zako kama zangu vileee
 
Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.

(Sorry to say your mom)
Mwanaume hata awe masikini vipi,ukimletea dharau zilizopitiliza atakunyanyulia mikono tuu,simshutumu uchebe kwa kilichotokea,unaweza kuta huyo Shilole anataka huruma za watu tuu,hatuwezi juwa alimkosea nini mume wake,na mtu mwenye hasira huwezi mpangia wapi pa kupiga na apige kwa kiasi gani,

Mimi nakumbuka kuna kesi moja niliishuhudia jamaa aliua mke,mtoto na shemeji yake kwasababu ya dharau mke na shemeji yake walizokuwa wanamletea,wanawake mjifunze muwapo kwenye ndoa dharau huwa hazivumiliki muda wote.
 
Hata asingepigwa asingeachana kwa amani huyo mwanamke anavyopenda kiki angemtangaza hata jamaa ni shoga ilimradi apate kiki tuu,alivyopasuliwa mimi naona ni haki yake ili na wanawake wenye staili za maisha kama yake wajifunze kwamba hata uwe na pesa vipi dharau zikizidi utachapwa tuu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…