Ushahidi wa maneno yamtokayo mwanamke akimuabuse mwanaume huwa hakuna upo ule wa mwanaume akimpiga mwanamke tu.Ushaskia ngumi imerushwa wakati kalala angemrudishia saa ngap!?
Plus sio kitendo Cha Mara moja nataman yamkute nduguyo yeyote tuone km utashabikia Kam unavyoshabikia hapa.
Ofcoz sema anazingua anapoliganda lishishi ambalo linamletea dharau na matusii ya nguoni kabisaa kisa tu shishi ana helaa.. Hii inaonesha uchebe hatosheki na maisha yake aliyonayoo kuna maisha anayatamani ambayo hawezi kuyafikia. Ni muda sasa aache kumganda shishi bora sh mia inayokupa amani kulim laki ya mtu yenye matusi na manyanyasooo.Mimi mwenyewe nawashangaa Hawa wanaoona taarifa za uchebe mitandaoni , nadhani Ni kwasababu uchebe sio mtu wa mitandao na sio mtu wa kujionesha mitandaoni.
Mimi namjua uchebe tangu anaishi Mwananyamala mshikaji kwa issue zake za gereji huwezi kusema eti anakosa hela.
Ila ndio watanzania huamini wanayoyasikia hususani upande wa shilole maana ndio husikika Sana kwenye media.
Ndio nashangaa huyo uchebe kukimbilia kumuoa shilole kama hamna alichokuwa anatafuta ni nini hasa?Watu wa Namtumbo ndio hushobokea Hawa wakina shilole lakini Ni Malaya mbwa ukiwa na hela yako unagonga
Kaka hapo umeamua kusema kweli.Ofcoz sema anazingua anapoliganda lishishi ambalo linamletea dharau na matusii ya nguoni kabisaa kisa tu shishi ana helaa.. Hii inaonesha uchebe hatosheki na maisha yake aliyonayoo kuna maisha anayatamani ambayo hawezi kuyafikia. Ni muda sasa aache kumganda shishi bora sh mia inayokupa amani kulim laki ya mtu yenye matusi na manyanyasooo.
Hilo la kuoa Malaya Mimi na wewe hatujui wanajua wenyewe ... Mbona watu wanachukua wakina Gigy money waliokubuhu.Sasa kwanini huyo uchebe aoe malaya, wanawake wote hawa wa mjini hapa, kafuata nini kwa malaya, haya sasa hayo ndio malipo yake.
Ukisoma maelezo ya mkuu kiranga hapo juu, ameeleza vizuri sanaa, "kushindwa kuchagua aina ya mwanamke wa kuoa, achilia mbali kuishi nae tu hilo ni tatizo. Hivi kuna mtoto wa mjini asiejua tabia/umalaya wa shilole???? Yeye uchebe kwa lipi haswa wa kuweza kumtuliza zuwena?Kama hujapata mwanamke mwenye Dharau.. Muelewaa... Asiekuwa na mdomoo bhasi wewe utakuwa one in a million luckiest man na huna sababu ya kumpigaa!! Lakini hawa kwetu bongo mamaee...
Mwanamke kakuzidi pesaa yani huwezi kwepa dharauu zilizozidi kipimo maana hata kama mnasaidiana kwenye majukumu tu wana dharau balaa..
Watu tu hawajui anaemng'ang'ania mwenzake Ni shilole , Kuwa mdadisi utaelewa hili ninalokwambia . Shishi ndio anamtaka uchebe.Kaka hapo umeamua kusema kweli.
Uchebe alitakiwa afanye maamuzi mapema sanaa, kukubali kudharaulika kisa pesa na umaarufu wa mwanamke hilo ndio tatizo tunalizungumzia hapa.
Wanawake wakiambia mdomo uliponza kichwa huwa hawaelewi. Kipigo chochote ni zao la kiburi, jeuri na domo chafu!Nimeona shilole ameandika Gazeti refu sana kuhusu uchebe lakini amini Shilole ndo anazingua na hii yote sababu ana Pesa so anaishi like Uchebe hawezi mwambia kitu. Ukiwa na hela zako bhasi usiolewe wewe tafuta viben ten vya kukupa raha siku moja moja bhasii ila sio Utake MUME.
Ukishaolewa hizo hela zako weka pembeni vaa uhusika wa Mke..Fanya majukumu ya Mke pia Kuwa Mtii kwa mume wako na Upunguze Kidomodomoo lasivyoo utakuwa unapigwaa mpaka ukome sababu mwanaume kuwa juu ya mke ni Nature ukitaka wewe ndo uwe juu bhasi Utaumiaa tuuu na mimi nasemaa mpigwee tuu mpaka mnyooke.View attachment 1500945View attachment 1500946
Hilo la kuoa Malaya Mimi na wewe hatujui wanajua wenyewe ... Mbona watu wanachukua wakina Gigy money waliokubuhu.
By the way hoja ya Uchebe hana Kitu ni hoja mfu na kwa watu wanaomjua Uchebe na shilole walishangaa kwanini Mtu wa Dini uchebe anamuoa Malaya ...
πππ, tuishie hapo mkuu.Watu tu hawajui anaemng'ang'ania mwenzake Ni shilole , Kuwa mdadisi utaelewa hili ninalokwambia . Shishi ndio anamtaka uchebe.
Hizi issue za Shishi Kupigwa huku kitaa tunazijua kitambo sana ... Shishi anapigwa kweli na uchebe muda mrefu ila alikuwa hataki kuachana na uchebe unajua kwanini ? ... Uliza utajua. Shilole ni muhuni na mwanamke asie na staha.
Siku uchebe akiongea utaelewa ninachokwambia.
Ngoja niishie hapa.
Ukisoma maelezo ya mkuu kiranga hapo juu, ameeleza vizuri sanaa, "kushindwa kuchagua aina ya mwanamke wa kuoa, achilia mbali kuishi nae tu hilo ni tatizo. Hivi kuna mtoto wa mjini asiejua tabia/umalaya wa shilole???? Yeye uchebe kwa lipi haswa wa kuweza kumtuliza zuwena?
Alibugi sanaa, na haya ndio malipo yake.
Pia hii ni malipo ya kumuacha mkewe waliekuwa familia kabisa kisa Shilolee.
Ni kosa kubwa sana kumuacha mwanamke wako kisa kuna mwanamke mwenye hela amekuapporach haya mambo achia wanawakee...
Kabisaaaaah upo sahihi haswaaaa.Kwa mfano Usaliti, Hapa nikipigo ila kwakua binafsi sheria yangu haithubutu kusamehe msaliti, Tinaachana ,hapa hata kama unamimba unaondoka... tumezaa watoto wangapi UNAONDOKA.
Kipigo ni suala moja, kupenda nilingine.
Alafu muda wakukaa mnagombana niwann??? Yaan badala ya kuwaza maendeleo yenu, mnawaza maujinga na magonvi na mabembelezano yasokua namaana khaaaaaaa....BADILIKENI.
Ukishanipiga inabadili nini ama inakuongezea nn.ama unakua umeboresha hadhi ya kiumeni?Unapigwa chini na kipigo juu cha kuagana ndio dawa yenu
Nenda naww ukalelewe,ndani ya ndoa kuna mengii nyie acheni..!Duh! mbona hiko kipigo Kama anaua mwizi sisi wanaume tuna kwama wapi? Unampiga mtu mzima mwenzako Kama mtoto kweli?shilole anamlisha huyu jamaa haitoshi anampigania mume wake kweli kweli asidhalilike au kuonekana Marioo mbele ya Uma pamoja na yote hayo fadhila yake Ni kipigo sijui sisi wanaume tunataka Nini?