Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Sentensi hii inahitaji ufafanuzi. Mwanamke anapigwa ila siyo kipigo cha kumuumiza na kumtoa ngeu, mwanamke anapigwa kwa lengo la kumuadabisha na kuna sehemu za kumpiga, ila kusema tu hapigwu, hii si sawa.

Huyu kama alimpiga kweli basi alichupa mpaka. Naona

Naona umeamua kumchukulia mwanamke kama "Robot" na unasahau ya kuwa huyo ni mwanamke na ni binadamu pia, yaani ana akili na ana utashi.

Binadamu sote hatujakamilika kuna makosa ya kudhamiria na makosa bahati mbaya na makosa ya bila kujua. Kumzuia mwanamke asikukasirishe hilo halipo na hakuna aliyewahi kuweza kama ilivyo kwetu sisi kujizuia kumkasirisha mwanamke ni ngumu.

Swali litakuwa gumu kwako endapi tukikuuliza unawezaje kumdhibiti mwanamke asifanye mambo ya kukukasirisha ?Hili ni swali gumu kwako, na ukijaribu kujibu linazaa vipengele na mwisho wa siku tunaishia katika nukta ya msingi ya "Kuvumiliana na kuzuia hasira zetu".

Kwa maana nyingine nukta hii imekaa kiandharia sana kinyume na uhalisia.

Hapa tuko pamoja na sahihi kabisa, na hii inaingia katika nukta ya kwanza uliyi itaja.

Hii nayo inaingia katika nukta yako ya kwanza kwa maana ni matokeo ya kushindwa kuzuia hasira zako kupiga kwa kuzidi kiwango.

Huu ni uongo wa wazi kabisa, sababu hakuna anae jua kesho na sisi binadamu tunabadilika badilika sana, lei unaweza kulala ukiwa mwema kesho ukaamka ukiwa muovu na unaweza kulaa ukiwa muovu kesho ukaamka ukiwa mwema. Ukweli wa hili hauhitaji tocho au Siraji au Kandiri/kandili kuuona. Sababu kubadilika kwa mwanadamu kuna changiwa na sababu nyingi mno, za nje na sababu za ndani.

Kitu cha msingi ni tunatakiwa kuishi nao kwa wema viumbe hawa,kuwasimamia,kuwatunza na kuwafanyia uadilifu.

Mwisho namalizia kwa kuandika ya kuwa wanawake wana maudhi sana na sisi huwa tunawaudhi mno.
Mkuu kama wewe mwanamke akikuudhi unampiga je na wewe unapomuudhi akufanyeje
 
Wewe ulikuwepo shilole kawafanyia sana wanaume zake na hatulii acha akipate


Sawa lakini Uchebe ni muoga kwanini ampige kwa kumvizia akiwa amelala?

Inamaana anamuogopa akiwa macho ?

Kwa mimi amenishangaza sana [emoji3][emoji3][emoji3]!
 
yuko wapi now huyo mwanamke?
Kwasasa hatuna mawasiliano hivyo sijui alipo kwa the way tulivyoachana n ngumu kuwasiliana,mwanamke kiburi kama yule akipata kina uchebe watamuua,analugha za matusiii,dharau,yan wewe acha tu watu wanavumilia mengi sana katika mahusiano!
 
Shilole amefanana na wajapani😂😂😂😂
 
Kumuacha mke sio rahisi kama watu wanavyodhani. Utaachana na wangapi maana kila mwanamke ana madhaifu yake. Ishu ni kurekebishana kwa hekima na amani ila inapofikia stage mtu haelewi kwa maneno ni shurti umpe nakoz. Hata vitabu vya dini vimeshauri usimnyime mwanamke mapigo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifanya nicheke kwa sauti. Kitabu gani kimeandikwa hivyo? Cha dini ya mashetani ama??
 
Kwasasa hatuna mawasiliano hivyo sijui alipo kwa the way tulivyoachana n ngumu kuwasiliana,mwanamke kiburi kama yule akipata kina uchebe watamuua,analugha za matusiii,dharau,yan wewe acha tu watu wanavumilia mengi sana katika mahusiano!
ulikaa naye miaka mingapi?
 
Mkuu kama wewe mwanamke akikuudhi unampiga je na wewe unapomuudhi akufanyeje
Kwanza mwanamke hapigwi usoni na si mwanamke tu bali mtu yoyote ni kosa kumpiga usoni. Haya ni mfanzo kwa mujibu wa imani yangu.

Suala la kumpiga mwanamke ni hatua ya mwisho kabisa katika kuadabisha na ikitokea anapigwa kibao ila mara nyingi ni kifuani, na lengo la kufanya hivyo ni kuonyesha ni kwa namna gani umekesarishwa. Ikitokea akarudisha hutakiwi kupigana nae, sababu wanaume tulio wengi tukiamua kupiga tunapiga tunaua.

Kuhusu yeye nikimuudhi, ni juu yake kuangalia ni njia gani atakayo tumia kuonyesha ya kuwa kweli ameudhuka, na hili ni juu yake yeye.
 
Kwanini asimburute mpaka kitandani akampigie hapo? Akitoka hapo usingizi umeisha na hasira zote zimeshayeyuka? Ila kwanini ampige ngumi zile tena usoni?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Bottom line ni results. Nimeandika kwa uzoefu.Sijawahi kumpiga mwanamke.
Hili unatakiwa ushukuru, ila ni makosa kuwaambia wale wanao wapiga wake zao ni matokeo ya kushindwa kuchagua, hapa utakuwa unajidanganya mzee, kwani wapo wengi ambao hawakuwahi kuwapiga wake zao lakini walikosea kuchagua.

Mizani ta kuchagua hutumika mwanzo kuona hali halisi ya mwenza wako, ama ukiingia ndani ni kurekebisha penye dosari na kusonga mbele, na ikishindikana kurekebisha basi hatua ya kuachana huwa ni bora zaidi kwa muda huo.
Kwa hivyo, nikisema kitu kama mwanamme kumpiga mwanamke ni matokeo ya mwanamme huyo kushindwa kuchagua mwanamke wa kuwa naye, naongea kitu ambacho kinatokana na uzoefu wangu.
Kosa leko ni kuufanya uzoefu wako kuwa ni usahihi, wakati umekiri ya kuwa ni kwa mujibu wako, na mizani haiko ivi,sababu uhalisia uko dhidi yako na uhalisia unaenda sambamba na silika mtu mmoja mmoja.

Kwahiyo silika inatuambia ya kuwa mwanadamu ni kiume ana badilika badilika na ili asibadilike anatakiwa kuingia vitani na kupambana na mambo ambayo yatamfanya abadilike.
Kwa sababu nimekutana na wanawake wengi, nikasema huyu mapepe, huyu machepele, huyu macho juu, huyu machi noo, huyu anafaa.
Hao wengi ni wachache sana katika walio wengi, na kitendo cha wewe kukutana na wanawake wengi kunaonyesha wazi kabisa wewe ndiyo una matatizo.

Haoa uethibitisha wazi kabisa ya kuwa una uwezo mdogo sana wa kuchagua, kibovu huwa kinaonekana awali kabisa.
Nao niliosema wanafaa sijawahi kuwapiga.
Na kutowapiga kwako haimaanishi ya kuwa uliweza kuwadhibiti wasikukasirishe, huu utakuwa ni uongo wa wazi kabisa.
Sasa hapo nikikwambia mwanamme anayepiga mwanamke hajui kuchagua mwanamke wa kuwa naye utanibishia vipi, wakati mimi naandika hilo kwa experience yangu ninayojivunia kwamba maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke?
Uzoefu wako umeonyesha ya wazi kabisa wewe ndiyo ulikuwa mkosaji kwa kukubali kuwa wanawake wengi katika nyakati tofauti, wanaume makini hatuko hivyo.

Suala la kumpiga mwanamke kama nilivyokwambia ni matokeo na jambo zuri ni kujizuia kutokumpiga na ikitokea kumpiga basi anapigwa ila si mpaka unafikia kumdhuru.

Kwahiyo sasa hilo la wewe kutokuwapiga ni suala lako binafsi na endelea kujivunia, sababu ni jambo jema.
Mimi nimewezaje na wengine wanashindwaje kama si kushindwa kuchagua mtu mnayeendana vizuri tangu mwanzo?
Naona unaendelea kukosea na kujikita katika nadharia ile ile.
 
Back
Top Bottom