Bottom line ni results. Nimeandika kwa uzoefu.Sijawahi kumpiga mwanamke.
Hili unatakiwa ushukuru, ila ni makosa kuwaambia wale wanao wapiga wake zao ni matokeo ya kushindwa kuchagua, hapa utakuwa unajidanganya mzee, kwani wapo wengi ambao hawakuwahi kuwapiga wake zao lakini walikosea kuchagua.
Mizani ta kuchagua hutumika mwanzo kuona hali halisi ya mwenza wako, ama ukiingia ndani ni kurekebisha penye dosari na kusonga mbele, na ikishindikana kurekebisha basi hatua ya kuachana huwa ni bora zaidi kwa muda huo.
Kwa hivyo, nikisema kitu kama mwanamme kumpiga mwanamke ni matokeo ya mwanamme huyo kushindwa kuchagua mwanamke wa kuwa naye, naongea kitu ambacho kinatokana na uzoefu wangu.
Kosa leko ni kuufanya uzoefu wako kuwa ni usahihi, wakati umekiri ya kuwa ni kwa mujibu wako, na mizani haiko ivi,sababu uhalisia uko dhidi yako na uhalisia unaenda sambamba na silika mtu mmoja mmoja.
Kwahiyo silika inatuambia ya kuwa mwanadamu ni kiume ana badilika badilika na ili asibadilike anatakiwa kuingia vitani na kupambana na mambo ambayo yatamfanya abadilike.
Kwa sababu nimekutana na wanawake wengi, nikasema huyu mapepe, huyu machepele, huyu macho juu, huyu machi noo, huyu anafaa.
Hao wengi ni wachache sana katika walio wengi, na kitendo cha wewe kukutana na wanawake wengi kunaonyesha wazi kabisa wewe ndiyo una matatizo.
Haoa uethibitisha wazi kabisa ya kuwa una uwezo mdogo sana wa kuchagua, kibovu huwa kinaonekana awali kabisa.
Nao niliosema wanafaa sijawahi kuwapiga.
Na kutowapiga kwako haimaanishi ya kuwa uliweza kuwadhibiti wasikukasirishe, huu utakuwa ni uongo wa wazi kabisa.
Sasa hapo nikikwambia mwanamme anayepiga mwanamke hajui kuchagua mwanamke wa kuwa naye utanibishia vipi, wakati mimi naandika hilo kwa experience yangu ninayojivunia kwamba maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke?
Uzoefu wako umeonyesha ya wazi kabisa wewe ndiyo ulikuwa mkosaji kwa kukubali kuwa wanawake wengi katika nyakati tofauti, wanaume makini hatuko hivyo.
Suala la kumpiga mwanamke kama nilivyokwambia ni matokeo na jambo zuri ni kujizuia kutokumpiga na ikitokea kumpiga basi anapigwa ila si mpaka unafikia kumdhuru.
Kwahiyo sasa hilo la wewe kutokuwapiga ni suala lako binafsi na endelea kujivunia, sababu ni jambo jema.
Mimi nimewezaje na wengine wanashindwaje kama si kushindwa kuchagua mtu mnayeendana vizuri tangu mwanzo?
Naona unaendelea kukosea na kujikita katika nadharia ile ile.