MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,931
Ushahidi wa maneno yamtokayo mwanamke akimuabuse mwanaume huwa hakuna upo ule wa mwanaume akimpiga mwanamke tu.Ushaskia ngumi imerushwa wakati kalala angemrudishia saa ngap!?
Plus sio kitendo Cha Mara moja nataman yamkute nduguyo yeyote tuone km utashabikia Kam unavyoshabikia hapa.