Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

[emoji849][emoji849][emoji849] kwa hiyo unataka nirudi ili unifumue kama shishi roho yako ndio iridhike?
Siwezi fanya ujinga huo "Ukiona mwanaume ananyanyua mkono wake kumpiga mwanamke elewa huyo hajawahi kunyanyua mkono wake darasani kujibu maswali" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kuna fikra za kijinga sana mtaani,kwamba mwanaume ukioa mwanamke ambae anapesa ama mshara ama kazi kukuzidi basi utaambiwa unalelewa,acheni ushamba,kwamba mwanaume ama mwanamke maskini hawezi kukaa na mtu aliye na kipato kwa kusukumwa na mapenzi siyo hela,halafu hela gani hizo mnazothubutu kusema shishi anazo na uchebe ana lelewa,hivi mkeo akikununulia suruali ni jambo la yeye kujitunisha kuwa anakutunza!,akikununulia mafuta ni kwamba wewe hauna hela ya kuyanunua,huyo uchebe ana shughuli yake siyo mkaa home,hta km shughuli yake ndogo lkn kuwa na shughuli ya kufanya kunaonesha he is a real man,
Tuache ushamba unaochochewa na roho mbaya inayosukumiziwa wivu nyuma,
Hata angekua anafanyia ndani kwake hana sababu ya kumpiga. umemshindwa mtu achaneni kwa amani, kwanza mwanaume alikua analelewaalitegemea anakula vya nani kama sio wanaume wenzie? Shilole kakosea angempiga hata chupa wawe even
 
Mimi ni kioo cha jamii

Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO..

HEEEEL NO! Wewe sio kioo cha jamii!

Who the hell is SHILOLE anyway ???

Jamii inakutazama kama mfano, jamii ya nani inamuiga Shilole maisha haya??? Umefanya nini maishani cha sisi kukuiga? Inakuiga kuimba, kucheza filamu au maisha ya kawaida ya wasanii kudangana wao kwa wao ????

Eti kuanzia leo mimi sio mke wa Uchebe, toka lini ndoa zinavunjwa kwa post Jamiiforums na instagram? Ameenda shule huyu kweli? Nataka binti yangu akue aje kuwa mhandisi, mhasibu, mwalimu, sio Shilole type!

Kioo cha jamii my foot!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanamziki pekee ndo vioo vya jamiii...!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni kweli kabisa
 
Wanamziki pekee ndo vioo vya jamiii...!!


kwani huyu Shilole ni nani, sio mwanamuziki?

halafu, kioo cha jamii ni ile sanaa ya msanii, sio maisha yake!!! Never!

Definition ya kazi za kisanii ni artistic reflection of general reality within a society. Kazi yao ile, kama inaakisi maisha ya jamii, ndio inakuwa kioo cha jamii, sio maisha yao, wamezaa na nani, wameendesha gari gani, wamepigwa na nani! Maisha ya hawa Shilole types hayaakisi Watanzania tunavyoishi kwa ujumla, kiutamaduni, kimaadili, kiuchumi n.k. n.k

Shilole, of all the people, anapata wapi guts za kusema yeye ni mfano kwa jamii?
 
Sahihi, ukishampiga ni kama umeshamsamehe, maana tayari adhabu umeshaitoa.
 
Sawa uchebe tumekusikia.......
 
aiseee
 
You said it all, i second you.

Sisi wengine hasira zetu zikitushika tunatoka tunaenda kutafuta chupa ya mvinyo na kuushusha taraaaatibu na hatuonekani nyumbani hata wiki.

Kuna watu watasema "kijana hayajakukuta", au "kuwa uyaone" lakini niwakumbushe tu sio wote tumeumbwa na roho ya kupiga hasa kiumbe chenye jinsia ya kike no matter what.
 
🤝🏽👊👊🙏
 
Siwezi kimbia nyumba yangu kisa mwanamkee...atanyooka tu
 
Hili kalisema Shilole mwenyewe wala hatujatunga sisi
 
Siwezi kimbia nyumba yangu kisa mwanamkee...atanyooka tu
Upo sawa kabisa mkuu, na hapo ndipo tunapotofautina. Wengine kupigishana makelele au kupiga wanawake hatuwezi, either nikuelekeze kwa utaratibu unielewe au imeshindikana basi maisha mengine yaendelee.

Pia mkuu hapo juu amezungumza vizuri sana, ukiona umezungumza na mwenza wako na hakuelewi mpaka umefikia hatua ya kupata hasira ya kumpiga ni bora ufanye maamuzi mengine tu, maana hiyo haitakuwa nyumba tena bali uringo wa ndondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…