Kuna fikra za kijinga sana mtaani,kwamba mwanaume ukioa mwanamke ambae anapesa ama mshara ama kazi kukuzidi basi utaambiwa unalelewa,acheni ushamba,kwamba mwanaume ama mwanamke maskini hawezi kukaa na mtu aliye na kipato kwa kusukumwa na mapenzi siyo hela,halafu hela gani hizo mnazothubutu kusema shishi anazo na uchebe ana lelewa,hivi mkeo akikununulia suruali ni jambo la yeye kujitunisha kuwa anakutunza!,akikununulia mafuta ni kwamba wewe hauna hela ya kuyanunua,huyo uchebe ana shughuli yake siyo mkaa home,hta km shughuli yake ndogo lkn kuwa na shughuli ya kufanya kunaonesha he is a real man,
Tuache ushamba unaochochewa na roho mbaya inayosukumiziwa wivu nyuma,