Kweli mkuu lakini nitakimbia nyumba mpaka linii...!!Upo sawa kabisa mkuu, na hapo ndipo tunapotofautina. Wengine kupigishana makelele au kupiga wanawake hatuwezi, either nikuelekeze kwa utaratibu unielewe au imeshindikana basi maisha mengine yaendelee.
Pia mkuu hapo juu amezungumza vizuri sana, ukiona umezungumza na mwenza wako na hakuelewi mpaka umefikia hatua ya kupata hasira ya kumpiga ni bora ufanye maamuzi mengine tu, maana hiyo haitakuwa nyumba tena bali uringo wa ndondi.
Ha ha ha!Haya yote mafanikio ya awamu ya tano
Hahahaaa........huu uchumi wa kati gani unaleta mifarakano kwenye jamii😁😁Ha ha ha!
Yaani ndo Shilole kaingia Uchumi wa kati kwa kipigo?
Haa ha ha...aisee kuna demu wangu alikuwa ana tabia ya kutaka nimrudishie zawadi alizonipa tukigombanaa tu anaanza huo usengee.. Siku akanimbia eti tuchange tuanzishe bisharaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mara sijui tujenge msingi kwenye kiwanja chakee me namchoraaa tuuu ila nishajua ni mtu wa aina ganiiiNi maneno ya wanawake tu wala siyo ya kuyajali sana... wanapenda kujitetea kwa maneno ya kipuuzi
Mwanamke akikunulia zawadi atatangaza dunia nzima itajua hasa mkikwaruzana
Mimi mwanamke akininunulia kitu sikitumii nakiweka benchi au nampa mtu mwingine[emoji16]
Wapuuzi hao tulishawazoea.Kuna wanaume humu nawafananisha na mambwa koko,,kubweka huku wanakimbia ovyo, wanajitia vidume kumbe nyuma ya pazia wanachapika sawasawa iwe kwa ngumi ama matukio na Bado wananywea,
wengine girlfriends tu wamewashinda ila wako hapa wanabwata ovyo
Ndio, usiache familia iteseke kama nafasi ya kuiba ipo. Asilimia kubwa wenye familia tunaiba ili kuzinusuru familia zetu.Kuiba?
Wewe acha utopolo.Ukiwakuta sasa wanavyofarijiana..eti oh mwanamke ni mtu wa thamani hivyo hawez kupigwa.shenzi kweli ,angekua wa thamani ndo angekua anafanya utopolo?...bado nasema tena, muda mwingine mwanamke hawezi kwenda bila kipigo.
Yani kuna watu hawajielewi humu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifanya nicheke kwa sauti. Kitabu gani kimeandikwa hivyo? Cha dini ya mashetani ama??
Hizo tuzo za upendeleo, hazina maana.Na baada ya kipigo huon ina mgharimu had leo? Grammy na Oscar anaishia kuziona kweny Tv, wakat yeye uwezo wa kuchukua anao. Poleeeeeh san
Mbona unamtag [emoji51] kwenye hii reply yangu Vinci ?Cc
Christina George habari ndio hiyo
Hayo unasema weeee, ila muhusika anajua jinsia gan ina m cost lolHizo tuzo za upendeleo, hazina maana.
Inawezekana kweli inamcost lakini haiondoi ukweli kwamba utolewaji wa hizo tuzo una upendeleo. Ushahidi wa hili umetolewa na washiriki wa uandaaji wa hizo tuzo.Hayo unasema weeee, ila muhusika anajua jinsia gan ina m cost lol
Ni kweli, ila kwa yee breez paspo kuwa na case ya Rihanna, wallah upendeleo ungekua kwake, angekua anabeba kila mwaka. Trust on me.Inawezekana kweli inamcost lakini haiondoi ukweli kwamba utolewaji wa hizo tuzo una upendeleo. Ushahidi wa hili umetolewa na washiriki wa uandaaji wa hizo tuzo.
Si babe wako.. kama unavyopenda kumtag C3 kwanguMbona unamtag [emoji51] kwenye hii reply yangu Vinci ?
hahahahah jauHao wakina Mo hatukuwaona kipindi Shishi anamtwanga Nuh Mziwanda na akawa anajitapa mitandaoni na clip zake zipo ingia kwa Millard Ayo uone. Huyo nuh Yuko tu kijitonyama ana stress za pombe kwasababu ya Huyo Shishi.
Sitetei mtu Kupigwa ila muwe mna balance mambo sio mwanaume anapigwa mnakula buyu ila Huyo Malaya akipigwa mnabinua midomo.