rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Kweli mkuu lakini nitakimbia nyumba mpaka linii...!!Upo sawa kabisa mkuu, na hapo ndipo tunapotofautina. Wengine kupigishana makelele au kupiga wanawake hatuwezi, either nikuelekeze kwa utaratibu unielewe au imeshindikana basi maisha mengine yaendelee.
Pia mkuu hapo juu amezungumza vizuri sana, ukiona umezungumza na mwenza wako na hakuelewi mpaka umefikia hatua ya kupata hasira ya kumpiga ni bora ufanye maamuzi mengine tu, maana hiyo haitakuwa nyumba tena bali uringo wa ndondi.