Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Upo sawa kabisa mkuu, na hapo ndipo tunapotofautina. Wengine kupigishana makelele au kupiga wanawake hatuwezi, either nikuelekeze kwa utaratibu unielewe au imeshindikana basi maisha mengine yaendelee.

Pia mkuu hapo juu amezungumza vizuri sana, ukiona umezungumza na mwenza wako na hakuelewi mpaka umefikia hatua ya kupata hasira ya kumpiga ni bora ufanye maamuzi mengine tu, maana hiyo haitakuwa nyumba tena bali uringo wa ndondi.
Kweli mkuu lakini nitakimbia nyumba mpaka linii...!!
 
Khantwe Baby you are my Pantene and I'm your fridge/freezer without you I'll never keep Cold or make Ice! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ni maneno ya wanawake tu wala siyo ya kuyajali sana... wanapenda kujitetea kwa maneno ya kipuuzi


Mwanamke akikunulia zawadi atatangaza dunia nzima itajua hasa mkikwaruzana

Mimi mwanamke akininunulia kitu sikitumii nakiweka benchi au nampa mtu mwingine[emoji16]
Haa ha ha...aisee kuna demu wangu alikuwa ana tabia ya kutaka nimrudishie zawadi alizonipa tukigombanaa tu anaanza huo usengee.. Siku akanimbia eti tuchange tuanzishe bisharaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mara sijui tujenge msingi kwenye kiwanja chakee me namchoraaa tuuu ila nishajua ni mtu wa aina ganiii
 
Kuna wanaume humu nawafananisha na mambwa koko,,kubweka huku wanakimbia ovyo, wanajitia vidume kumbe nyuma ya pazia wanachapika sawasawa iwe kwa ngumi ama matukio na Bado wananywea,
wengine girlfriends tu wamewashinda ila wako hapa wanabwata ovyo
Wapuuzi hao tulishawazoea.
 
Anasema alienda hospital kutibiwa. Je hospital gani inapokea mtu akiwa hivyo bila PF3?
 
Ukiwakuta sasa wanavyofarijiana..eti oh mwanamke ni mtu wa thamani hivyo hawez kupigwa.shenzi kweli ,angekua wa thamani ndo angekua anafanya utopolo?...bado nasema tena, muda mwingine mwanamke hawezi kwenda bila kipigo.
Wewe acha utopolo.
 
.
FB_IMG_1594315776634.jpeg
 
Hayo unasema weeee, ila muhusika anajua jinsia gan ina m cost lol
Inawezekana kweli inamcost lakini haiondoi ukweli kwamba utolewaji wa hizo tuzo una upendeleo. Ushahidi wa hili umetolewa na washiriki wa uandaaji wa hizo tuzo.
 
Inawezekana kweli inamcost lakini haiondoi ukweli kwamba utolewaji wa hizo tuzo una upendeleo. Ushahidi wa hili umetolewa na washiriki wa uandaaji wa hizo tuzo.
Ni kweli, ila kwa yee breez paspo kuwa na case ya Rihanna, wallah upendeleo ungekua kwake, angekua anabeba kila mwaka. Trust on me.
 
Hao wakina Mo hatukuwaona kipindi Shishi anamtwanga Nuh Mziwanda na akawa anajitapa mitandaoni na clip zake zipo ingia kwa Millard Ayo uone. Huyo nuh Yuko tu kijitonyama ana stress za pombe kwasababu ya Huyo Shishi.


Sitetei mtu Kupigwa ila muwe mna balance mambo sio mwanaume anapigwa mnakula buyu ila Huyo Malaya akipigwa mnabinua midomo.
hahahahah jau
 
Back
Top Bottom