Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kifupi Jmaa alishaona hna mwisho Mzuri kana asiondoke kinyonge km
 
Mwanamke "CHA WOTE" hafugiki kamwe.

Kuna watu wanadhani Kila mvaa sketi anaeza kuwa mke, NEVER
 
Ila wanaume bhana! Kwani mnadhani ninyi mnavyochepuka wanawake ndiyo hawapatwi na hasira?
Inaboa haswaa! But no way out mwanaume ataenda chepuka kisha aje akuvunjie heshima. I guess tungekuwa tukipata wanawake wa nje tuna behave in the same manner kama nyie mkipata mabwana nje pangekuwa panachimbika mjengoni.

Yani kuna namna mwanamke anakujibu unajua kabisa huyu kuna kijamaa kishaanza kumparamia kinamtia jeuri.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuchapeni na hela kenge nyieView attachment 1502878
Wolper akili zake anazijua mwenyewe. Na huwa anasisitiza kabisa kwamba mwanaume pesa.

Kuna clip moja diamond alipost anaperform kwa stage anakata viuno akawa anasema eti wanawake wanampendea viuno vyake. Wolper akacomment akasema "mwanaume pesa viuno peleka kibaokatani" sasa nikamuimagine ndiyo anasema hivyo na ile ongea yake haki nilicheka.
 
Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
Yani dadaangu bora umekuwa honest, mwanamke ana asili ya dharau akiwa nacho kumzidi mume. Hii inajidhiirisha sana hasa kipindi ambacho mume anakwama.

Maneno ya masimango toka kwa mke unayempenda kwa dhati yanaumaga kuliko maumivu ya kuchunwa ngozi ukiwa hai.

Ubaya ni kuwa wanawake wengi hamuelewagi kuwa hapo ndipo mnazalisha roho ya kisasi dhidi yenu. Mtu atavumilia masimango ila siku likimfika kooni atakushushia hasira za miezi sita ndio hivyo. Unakuta sura inakuwa kama bajaji iliogongwa na Scania.

Hayakuanza leo hayo!!! Ni malimbikizo ya kisasi, mwanamke hata kama unampiga tuff mumeo usimfanye ajiskie vibaya kwa kumsimanga kana kwamba hana akili au anapenda kutumia hela yako. Saingine wale tusio kwenye ajira rasmi tunaishiwaga mbinu inabidi uombe jeki IMF.
 
Aisee hii inawahusu na wale wanaume wenye michepuko na waongo waongo ??
 
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Dah.... Aisee! Mtu mwenyewe sasa unaesema tuishi nao kwa akili, akili zenyewe hauna.......

Ila ngoja ukishakuwa mkubwa hizo akili za utoto zitakutoka zitakuja za kikubwa.... Ukijakusoma comment yako mwenyewe utaweza kutapika....
 
[emoji106]
Ishia tu hapo mkuu

Ova
 
Kuna mwingine hapa namuona ona analeta mambo ya ajab ajab..muda si mrefu nitamkata vikombe vya maana nimuumue kama shilole,maana analeta dharau..
 
Reactions: amu
Si unakumbuka shyshy ilipokuwa block41 Kino, wengi walijua yeye anapamiliki eneo lile kumbe kapanga
Si umeona watu wakamtoa na Sahv pameinuliwa gorofa apartment na wenye kisu
Hawa wasanii Wana fake sana maisha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…