amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Natumai umewakilisha vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Natumai umewakilisha vizuri
Wewe unaonaje? Si watuchape na hela jamaniiiiiii mambo ya kugeuzwa punching bag hayafaiIla manara jomoneeeeh mweeeh, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah yaani mods wa siku hizi sijui wapoje..... Unaanzisha uzi kwa mantiki tofauti wao wanaleta huku.... Msyuuuuuu
Ila wanaume bhana! Kwani mnadhani ninyi mnavyochepuka wanawake ndiyo hawapatwi na hasira?Hasira mkuu! One day ukioa mke wako unayempenda halafu akaenda kutiwa nje ndio utaelewa. Kuna kughafilika!!!
Kabisaaaaah pesa muhimu mam.Wewe unaonaje? Si watuchape na hela jamaniiiiiii mambo ya kugeuzwa punching bag hayafai
Yeah yaani mods wa siku hizi sijui wapoje..... Unaanzisha uzi kwa mantiki tofauti wao wanaleta huku.... Msyuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] am deadSasa mke harudi nyumbani bila taarifa nawe wajiita mume!! We inabidi ufungwe jiwe kuuubwa utumbukizwe baharini.
Mwanamke "CHA WOTE" hafugiki kamwe.Hivi na kwetu sisi wanaume tunapata wapi ujasiri wa kuoa mwanamke ambaye kachora tatoo kwenye kifua na maziwa! Wanawake wana namna hii hawafai kuolewa kabisa.
Tena uchebe naona kamgusa tu, kwangu angechezea vitasa zaidi muda huu angekuwa katundukiwa drip.
Naunga mkono hoja.Sasa mke harudi nyumbani bila taarifa nawe wajiita mume!! We inabidi ufungwe jiwe kuuubwa utumbukizwe baharini.
Inaboa haswaa! But no way out mwanaume ataenda chepuka kisha aje akuvunjie heshima. I guess tungekuwa tukipata wanawake wa nje tuna behave in the same manner kama nyie mkipata mabwana nje pangekuwa panachimbika mjengoni.Ila wanaume bhana! Kwani mnadhani ninyi mnavyochepuka wanawake ndiyo hawapatwi na hasira?
Wolper akili zake anazijua mwenyewe. Na huwa anasisitiza kabisa kwamba mwanaume pesa.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuchapeni na hela kenge nyieView attachment 1502878
Hata uwe na mpunga kiasi gani hizo takataka usioe. Kanyaga tuu kisha tupa kule. Mengi mwenyewe (R.I.P) alifuliaKuoa staa mzigo Hasa Kama huna hela
Vivyo hivyo wanaume pia mtambue kuwa si kila mvaa suruali anafaa kuwa mumeMwanamke "CHA WOTE" hafugiki kamwe.
Kuna watu wanadhani Kila mvaa sketi anaeza kuwa mke, NEVER
Yani dadaangu bora umekuwa honest, mwanamke ana asili ya dharau akiwa nacho kumzidi mume. Hii inajidhiirisha sana hasa kipindi ambacho mume anakwama.Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
Aisee hii inawahusu na wale wanaume wenye michepuko na waongo waongo ??Yani dadaangu bora umekuwa honest, mwanamke ana asili ya dharau akiwa nacho kumzidi mume. Hii inajidhiirisha sana hasa kipindi ambacho mume anakwama.
Maneno ya masimango toka kwa mke unayempenda kwa dhati yanaumaga kuliko maumivu ya kuchunwa ngozi ukiwa hai.
Ubaya ni kuwa wanawake wengi hamuelewagi kuwa hapo ndipo mnazalisha roho ya kisasi dhidi yenu. Mtu atavumilia masimango ila siku likimfika kooni atakushushia hasira za miezi sita ndio hivyo. Unakuta sura inakuwa kama bajaji iliogongwa na Scania.
Hayakuanza leo hayo!!! Ni malimbikizo ya kisasi, mwanamke hata kama unampiga tuff mumeo usimfanye ajiskie vibaya kwa kumsimanga kana kwamba hana akili au anapenda kutumia hela yako. Saingine wale tusio kwenye ajira rasmi tunaishiwaga mbinu inabidi uombe jeki IMF.
Dah.... Aisee! Mtu mwenyewe sasa unaesema tuishi nao kwa akili, akili zenyewe hauna.......Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
[emoji106]Akilinjema, Ndivyo mnadanganyana huko vijijini kwenu.
Pale kwa uchebe tunaibuka kabla hata hajamuoa Huyo. Uchebe tunamjua tangu na tangu labda wewe uwe umemjua leo kwenye taarifa za Millard Ayo.
Kwa taarifa yako Sasa nakupa Uchebe alikuwa anaishi poa tu kabla hata ya kumuoa Shilole sema issue zake za gereji shilole amemuongezea soko zaidi baada ya kuwa nae lakini si kweli eti Uchebe ni Mario, Hakuna huo ukweli.
Mpaka kesho ukienda pale Gereji kwake jamaa anagonga spana Kama kawaida.
Kwa wewe usiemjua shilole ndio utakuja hapa kuongea pumba Usitake tuongee mengine hapa tupigwe Ban.
Nenda kamuulize shilole ameshaacha tabia Yake ya kukutana na yule jamaa mme wa mtu pale Grand Villa Hotel kijitonyama ? ... Sasa ndio ujue huyo shilole tunamjua nje out akizingua tunamwaga mambo
Si unakumbuka shyshy ilipokuwa block41 Kino, wengi walijua yeye anapamiliki eneo lile kumbe kapangaMimi mwenyewe nawashangaa Hawa wanaoona taarifa za uchebe mitandaoni , nadhani Ni kwasababu uchebe sio mtu wa mitandao na sio mtu wa kujionesha mitandaoni.
Mimi namjua uchebe tangu anaishi Mwananyamala mshikaji kwa issue zake za gereji huwezi kusema eti anakosa hela.
Ila ndio watanzania huamini wanayoyasikia hususani upande wa shilole maana ndio husikika Sana kwenye media.