Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Kifupi Jmaa alishaona hna mwisho Mzuri kana asiondoke kinyonge km
 
Hivi na kwetu sisi wanaume tunapata wapi ujasiri wa kuoa mwanamke ambaye kachora tatoo kwenye kifua na maziwa! Wanawake wana namna hii hawafai kuolewa kabisa.

Tena uchebe naona kamgusa tu, kwangu angechezea vitasa zaidi muda huu angekuwa katundukiwa drip.
Mwanamke "CHA WOTE" hafugiki kamwe.

Kuna watu wanadhani Kila mvaa sketi anaeza kuwa mke, NEVER
 
Ila wanaume bhana! Kwani mnadhani ninyi mnavyochepuka wanawake ndiyo hawapatwi na hasira?
Inaboa haswaa! But no way out mwanaume ataenda chepuka kisha aje akuvunjie heshima. I guess tungekuwa tukipata wanawake wa nje tuna behave in the same manner kama nyie mkipata mabwana nje pangekuwa panachimbika mjengoni.

Yani kuna namna mwanamke anakujibu unajua kabisa huyu kuna kijamaa kishaanza kumparamia kinamtia jeuri.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tuchapeni na hela kenge nyieView attachment 1502878
Wolper akili zake anazijua mwenyewe. Na huwa anasisitiza kabisa kwamba mwanaume pesa.

Kuna clip moja diamond alipost anaperform kwa stage anakata viuno akawa anasema eti wanawake wanampendea viuno vyake. Wolper akacomment akasema "mwanaume pesa viuno peleka kibaokatani" sasa nikamuimagine ndiyo anasema hivyo na ile ongea yake haki nilicheka.
 
Ila wadada siye kwa midomo michafu na jeuri Tu hatuna mpinzani,kiukweli tubadilke na tulivo walalamishi sasa... Yaani na ukikuta kamzidi mmewe kipato baasi hali inakua tete haswaa kwenye mahusiano na hata ndoa wanawake wengi tuna dharau
Yani dadaangu bora umekuwa honest, mwanamke ana asili ya dharau akiwa nacho kumzidi mume. Hii inajidhiirisha sana hasa kipindi ambacho mume anakwama.

Maneno ya masimango toka kwa mke unayempenda kwa dhati yanaumaga kuliko maumivu ya kuchunwa ngozi ukiwa hai.

Ubaya ni kuwa wanawake wengi hamuelewagi kuwa hapo ndipo mnazalisha roho ya kisasi dhidi yenu. Mtu atavumilia masimango ila siku likimfika kooni atakushushia hasira za miezi sita ndio hivyo. Unakuta sura inakuwa kama bajaji iliogongwa na Scania.

Hayakuanza leo hayo!!! Ni malimbikizo ya kisasi, mwanamke hata kama unampiga tuff mumeo usimfanye ajiskie vibaya kwa kumsimanga kana kwamba hana akili au anapenda kutumia hela yako. Saingine wale tusio kwenye ajira rasmi tunaishiwaga mbinu inabidi uombe jeki IMF.
 
Aisee hii inawahusu na wale wanaume wenye michepuko na waongo waongo ??
 
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Dah.... Aisee! Mtu mwenyewe sasa unaesema tuishi nao kwa akili, akili zenyewe hauna.......

Ila ngoja ukishakuwa mkubwa hizo akili za utoto zitakutoka zitakuja za kikubwa.... Ukijakusoma comment yako mwenyewe utaweza kutapika....
 
Akilinjema, Ndivyo mnadanganyana huko vijijini kwenu.

Pale kwa uchebe tunaibuka kabla hata hajamuoa Huyo. Uchebe tunamjua tangu na tangu labda wewe uwe umemjua leo kwenye taarifa za Millard Ayo.

Kwa taarifa yako Sasa nakupa Uchebe alikuwa anaishi poa tu kabla hata ya kumuoa Shilole sema issue zake za gereji shilole amemuongezea soko zaidi baada ya kuwa nae lakini si kweli eti Uchebe ni Mario, Hakuna huo ukweli.

Mpaka kesho ukienda pale Gereji kwake jamaa anagonga spana Kama kawaida.

Kwa wewe usiemjua shilole ndio utakuja hapa kuongea pumba Usitake tuongee mengine hapa tupigwe Ban.

Nenda kamuulize shilole ameshaacha tabia Yake ya kukutana na yule jamaa mme wa mtu pale Grand Villa Hotel kijitonyama ? ... Sasa ndio ujue huyo shilole tunamjua nje out akizingua tunamwaga mambo
[emoji106]
Ishia tu hapo mkuu

Ova
 
Kuna mwingine hapa namuona ona analeta mambo ya ajab ajab..muda si mrefu nitamkata vikombe vya maana nimuumue kama shilole,maana analeta dharau..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi mwenyewe nawashangaa Hawa wanaoona taarifa za uchebe mitandaoni , nadhani Ni kwasababu uchebe sio mtu wa mitandao na sio mtu wa kujionesha mitandaoni.

Mimi namjua uchebe tangu anaishi Mwananyamala mshikaji kwa issue zake za gereji huwezi kusema eti anakosa hela.

Ila ndio watanzania huamini wanayoyasikia hususani upande wa shilole maana ndio husikika Sana kwenye media.
Si unakumbuka shyshy ilipokuwa block41 Kino, wengi walijua yeye anapamiliki eneo lile kumbe kapanga
Si umeona watu wakamtoa na Sahv pameinuliwa gorofa apartment na wenye kisu
Hawa wasanii Wana fake sana maisha

Ova
 
Back
Top Bottom