Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Achana neno umarioo kutumia kama ngao kwako, yule kidume na anapambana kutafuta mkate wake wa kila Siku.. Sasa si wameachana utaona kama huyo uchebe atakula mavi mjini kama unavyodhani..
Wakumkojoza wapo wengi mjini, kama alivyotoka nuhu, akaja yeye unaweza ukakuta saizi ni zamu yako na wewe, ila ujipange umarioo una gharama zake.

Sijui sura yake ataweka wapi masikini, garage yenyewe nyuma alikuwa shishi.

Marioo mna kazi sana.
 
Hayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
Na mimi nilitaka sema hivyo "hayajamkuta "hawa watu sio kwamba tunatakiwa kuishi nao kwa akili pia tunatakiwa tuishi nao kwa Amri so long as unavyompa uhuru na kumfanya mwenzako zaidi, yeye ndio anaanzisha dharau
 
Sasa mbona hamtumii akili mnatumia nguvu?
 
ihiiiiiiiii....neyo bhabehi,hivi uchebe ni msukuma kama mimi?maana ameniwakilisha vizuri sana hapo.#amaendeleo gade na chama!!
 
Na mimi nilitaka sema hivyo "hayajamkuta "hawa watu sio kwamba tunatakiwa kuishi nao kwa akili pia tunatakiwa tuishi nao kwa Amri so long as unavyompa uhuru na kumfanya mwenzako zaidi, yeye ndio anaanzisha dharau
unamwamrishaje mwanamke aliyekuzidi uwezo kwa mfano?
Wewe ukiwa choka mbaya hizo amri utatoa kupitia koo lipi?
 
Kama kuwa maarufu kunakufanya Ushindane na mumeo bhasi hesabu wewe ni wa kugongwaa na kuachwaa tena na watoto uwalele sababu unajiona unavihelaaa hivii
Wanaume wasiojiamini ndo wanahitaji mwanamke ajishushe Kwa ajili yake.

"If you can only be tall when I'm on my knees, are you really tall?"

Kama uanaume wako unahitaji mwanamke ajishushe au a surrender kila kitu baada ya kuwa mkeo, wewe Ni mwanamme?
Alijua anaoa mwanamke mwenye pesa na umaarufu, alitegemea nini?
 
Kuoa mwanamke star lazima uwe na moyo wa uvumilivu.Mwanaume hawezi kukupiga tu bure. Lazima kuna sababu au chanzo...Ni vile kwa sababu dada ni star lazima utetezi uegemee sana kwake.Lakini sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanika haya mitandaoni kama si kutafuta zaidi huruma na umaarufu zaidi.
 
Hakuna mwanamke anampenda mwanaume asie na pesa , Hakuna mkuu. Mwanaume unaweza mpenda mwanamke na familia Yao nzima ni masikini lakini mwanamke hawezi kumpenda mwaume wa hivyo.

Na Kama ikitokea lazima Huyo mwaume ajiandae siku yoyote bomu litalipuka. Tumeyaona na nina Imani kwa umri wako umeyaona.
Hahaha acha tu haya mambo we yasikie tu

Ova
 
Haya yote yann?? Kuna watu wanajitafutiaga Jela mno.

Unamaisha yako , unajiamin, Mwanamke anaweza kukupanda kiasi cha kumpiga ivo???

Amekupanda sana, usipoteze muda wako, ...ACHANENI , mnaachana kila mtu anaendelea na maisha yake.

Sasa mwisho ufungwe kwa upuuzi upuuzi tu.
 
Mtoa mada kma ww ni men nenda kamuoe uone hadha za kukawa na Hawa bongo fleva na bongo move
 
Back
Top Bottom