mangonifera indica
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 845
- 1,467
Kioo cha jamii.... I see
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nachukia sana nikiona mwanaume mwenzangu anapiga mwanamke. Hivi tunashindwa kuishi nao kwa akili?
Au mwanamke ataishia gerezani mwanaume akiwa haeleweki kama huyu mwanamkeKuna wanawake kuishi nao kunahitaji.moyo wa malaika..la sivyo utaishia gerezani
Wakumkojoza wapo wengi mjini, kama alivyotoka nuhu, akaja yeye unaweza ukakuta saizi ni zamu yako na wewe, ila ujipange umarioo una gharama zake.
Sijui sura yake ataweka wapi masikini, garage yenyewe nyuma alikuwa shishi.
Marioo mna kazi sana.
Na mimi nilitaka sema hivyo "hayajamkuta "hawa watu sio kwamba tunatakiwa kuishi nao kwa akili pia tunatakiwa tuishi nao kwa Amri so long as unavyompa uhuru na kumfanya mwenzako zaidi, yeye ndio anaanzisha dharauHayajakukuta mzee usiseme hvyo hujui alichokifanya huyo na huenda ukikifahamu unaweza kusema kwann asingemvunja ata mkono. Hawa wanawake hawa nadhan waliooa au wanaoishi na wanawake kwa mda mrefu watakuwa wananielewa
Sasa mbona hamtumii akili mnatumia nguvu?Na mimi nilitaka sema hivyo "hayajamkuta "hawa watu sio kwamba tunatakiwa kuishi nao kwa akili pia tunatakiwa tuishi nao kwa Amri so long as unavyompa uhuru na kumfanya mwenzako zaidi, yeye ndio anaanzisha dharau
Au mwanamke ataishia gerezani mwanaume akiwa haeleweki kama huyu mwanamke
unamwamrishaje mwanamke aliyekuzidi uwezo kwa mfano?Na mimi nilitaka sema hivyo "hayajamkuta "hawa watu sio kwamba tunatakiwa kuishi nao kwa akili pia tunatakiwa tuishi nao kwa Amri so long as unavyompa uhuru na kumfanya mwenzako zaidi, yeye ndio anaanzisha dharau
Wanaume wasiojiamini ndo wanahitaji mwanamke ajishushe Kwa ajili yake.
"If you can only be tall when I'm on my knees, are you really tall?"
Kama uanaume wako unahitaji mwanamke ajishushe au a surrender kila kitu baada ya kuwa mkeo, wewe Ni mwanamme?
Alijua anaoa mwanamke mwenye pesa na umaarufu, alitegemea nini?
Hahaha acha tu haya mambo we yasikie tuHakuna mwanamke anampenda mwanaume asie na pesa , Hakuna mkuu. Mwanaume unaweza mpenda mwanamke na familia Yao nzima ni masikini lakini mwanamke hawezi kumpenda mwaume wa hivyo.
Na Kama ikitokea lazima Huyo mwaume ajiandae siku yoyote bomu litalipuka. Tumeyaona na nina Imani kwa umri wako umeyaona.
Tatizo Uche kukubali kulelewa Lazima awe mpoleMwanaume yeyote anayenyanyua mkono kupiga mwanamke ni umbwa tu
Yaani acha tu[emoji134][emoji134]Mambo yameanza
Subiri kwanza tusikie na upande wa jamaa ndo nani wa kulaumiwa.Yani nguvu zte unamtime dem kalala ndo unampga kwl