Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.
Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
Nafikiri unajua history ya Shilole kwa wanaume Shilole hata kwa kumuangalia kwa nje utajua kabisa ni mwanamke anae taka yeye aseme.

Pia Shilole yeye ana uwezo kushinda mwanaume kama utakua unawajua wanawake vizuri basi utajua kwa nini Shilole kapasuliwa uso.
 
UCHEBE katunyima raha vijana yeye anampigaje Shilole Usoni tena mangumi na kumvimbisha kiasi kile! angetakiwa ampige MATAKONI tena makofi na mangumi ya haja mpaka avimbe vizuri na hapo ndo shilole angetuonyesha ushahidi kwa kuyaanika MATAKO yake yaliyovilia damu, ingependeza sana au mnasemaje makamanda?
 
Hakuna anaehukumu kwamba Uchebe ndo kakosea sana, ila hata kama Shishi alikuwa anachepuka kumpiga ndo ilikuwa suruhisho?

Kwanini Uchebe asingetumia njia zingine hata kuachana pia ilikuwa bora, maana hata sasa pamoja na kumpiga bado wameachana

Sasa si bora wangeachana tu kwa amani!!!
 
Kwa hiyo kina Mo na wanaume wote waliomtete Shilole ni wajinga,, umeiona tweet ya Mo Dewji? Kwa hiyo nae ni mjinga.
Aliyekuambia kumpiga mwanamke ndio ubabe ni nani, huyo Uchebe kama mbabe kweli si angeenda kumpiga huyo mwanaume ambaye kwa mtazamo wake au mawazo yake anadhani ndio kikwazo

Grow up.. Being kind is not a weakness
Mo katweet wapi boss?? Mo hana huo ujinga mkuu
 
Hata kama ni halali kumpiga mke akikosea ila sio kwa ukubwa ule wa kipigo. Tena kapiga sana usoni alidhamiria kumuumiza na hata wakiachana awe hana soko tena maana front Ofice kashaiharibu.

Sijawahi kuona mama akipigwa hivo au mama yake uchebe ndio alikua anafanyiwa hivo.? (Sorry to say your mom)
Ukileta ushubwada lazima upigwe , tena kipigo heavy.
Muulize Rihanna anakikumbuka kipigo alichopewa na Chris Brown
 
Hakuna anaehukumu kwamba uchebe ndo kakosea sana, ila hata kama Shishi alikuwa anachepuka kumpiga ndo ilikuwa suruhisho?

Kwanini Uchebe asingetumia njia zingine hata kuachana pia ilikuwa bora, maana hata sasa pamoja na kumpiga bado wameachana

Sasa si bora wangeachana tu kwa amani!!!
Mwanamke mpuuzi anatakiwa apigwe.
 
Inferior complex ni kitu kibaya sana!

Wanaume wasio na kazi wengi wanasumbuliwa na hiyo kitu !
 
Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.

Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furaha

na zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA

'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI.

Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.

Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yake

Wakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU

Pia soma > Shilole amchapa makofi mpenzi wake Uchebe mbele za watu

Usipotii mamlaka lazima upigwe. Na utapigwa sana.
PT
 
Mambo ya mke na mume nawaachia wenyewe hata wakiwa majirani zangu huwa siamulii ugomvi wao, hata kama watadundana hadi waumizane!
 
Uchebe muoga sana!

Yani anashindwa kulianzisha ngumi mubashara asubiri hadi Shilole alale afanye kumvizia [emoji14][emoji14][emoji14]

Uchebe hana tofauti na Nunu Mziwanda ni walewale tu
 
Back
Top Bottom