Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Mwanaume mwenye mchepuko lazima atakuwa na hela za kuhonga..Hii haiwahusu!
Oohh basi kama yupo mwanaume ambaye hachepuki kabisa (haijalishi ana hela au hana) ndiyo aje alalamike kuhusu kudharauliwa na mkewe tofauti na hapo wote pigeni kimya. Mwanaume mzinzi hastahili heshima ya kiumbe chochote kile.
 
Unajua kadri ya siku ziendavyo naona una uhanga wa kuchitiwa vibaya mno. Usiwachukie wanaokuchiti ila angalia nini kimepelekea wewe kuwa cheated multiple times?

A man will always be a man.
 
Haya mlokuwa mnasema Uchebe ana gereji yake mmesikia kuwa hiyo gereji kaanzishiwa na Shilole?

Uchebe mwenyewe kwenye mazungumzo yake anakiri wazi kuwa analelewa na Shilole nawashangaa mnaojaribu kutaka kukwepa ukweli.!
 
Nasoma comment za watu napata maswali kichwan. Hv n kwel Shilole anamlea Uchebe au Shilole kamzidi kipato Uchebe. Sizan km Shilole ndio anamlea mshikaji km mtoto mdogo ila tu Shilole kamzidi kipato uchebe.
 
Mizani haiko sawa.
 
Basi ijulikane hvyo kwamba kipato hakilingani ila sio kwamba Shilole ndio anamlisha. Ndio maana wanawake wenye vipato kuolewa n ishu coz akimzdi mume kipato tu anajihisi yeye ndio anamlisha mume
Watakuja kubishana ila huo ndio ukweli..Mwanamke akiwa na kipato cha juu anajiona sana.
 
Khantwe Baby you are my Pantene and I'm your fridge/freezer without you I'll never keep Cold or make Ice! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Umeshachukua form ya kugombea jimbo mkuu? Hizi level ni za kuingilia mjengoni kabisa.
 
Back
Top Bottom