Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Oohh basi kama yupo mwanaume ambaye hachepuki kabisa (haijalishi ana hela au hana) ndiyo aje alalamike kuhusu kudharauliwa na mkewe tofauti na hapo wote pigeni kimya. Mwanaume mzinzi hastahili heshima ya kiumbe chochote kile.Mwanaume mwenye mchepuko lazima atakuwa na hela za kuhonga..Hii haiwahusu!