Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi;

Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake

"Mwanaume hata umfanyie nini haridhiki lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee, kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi ™@shilolekiuno"

Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari;

"Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE ™@mziwandanation"

 

Attachments

  • image.jpg
    28 KB · Views: 5,365
Wagombanao ndio wapatanao, waliokutana mitandaoni wataachana mitandaoni, Kama walianza kwa siri kwanini waachane kwa kuanikana? Kweli dunia tambala bovu, nawatakia kila lakheri katika kutafuta maisha mapya ila wasiabishane maana walipendana wenyewe.
 
Ganda la ndizi vs Asha ngedere. Unaweza kuta hata hawajagombana. Wanatafuta attention tuuu
 
Hawa Mburula wana Collabo yao itatoka hivi karibuni ni nyimbo ya Serengeti boy Mziwanda hapo wanatengeneza headline wala hawajagombana ni maandalizi tu kwa ajili ya kuachia hiyo nyimbo
Basi siku hizi kumbe ni mbinu mpya, kabla ya kutoa mziki au move...unatanguliza skendo kwanza
 
Aisee kumbe ni mbinu mpya za kujipaisha?,hovyo Sana Hawa viumbe.
 
Hivi siku hizi kutoa nyimbo lazima kutengeneza skendo? Wajinga kabisa hawa. Wameishiwa ubunifu.
 
Hivi siku hizi kutoa nyimbo lazima kutengeneza skendo? Wajinga kabisa hawa. Wameishiwa ubunifu.
Walianza kwa kuongea broken English naona ishakua outdated sijui hii ni mpya sijui wameachana kweli
teh ila sio kwa kuitana majina hayo asha ngedere vs ganda la ndizi teh teh
 
Tatizo shishi alionyesha utamu kule ubeligiji sasa nani anataka anayeonyeshaga utamu nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…