Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

Insta leo patamuuu...embu kalete mscreenshot shoga shishi kashusha nyingine

Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare ™@shilolekiuno

ha ha ha haya shilole huyo, tusubiri na jibu la nuhu sijui atatuambia kuwa shishi ana rambooo
Ms.Lincoln hii sio Kiki naona things are gering serious
am so wandazzz
 
Last edited by a moderator:

Aiseeee...ngoja tuone...
 
Haya ni makavu aisee, sidhani kama ni kiki.
 
Last edited by a moderator:
Nakaaya alichora jina la M1 ila baada ya penzi kuvunjika akatafutwa mtaalamu wa tatoo akapimp mchoro wa jina na kuufanya kuonekana kama flower flani na sio jina tena.
 
Yaani hawa wawili huwa siwaelewi na vituko vyao, ila vinanipaga kicheko nazidi kutozeeka mie.

Huo mwimbo na kideo nitaangalia nione kama kuna kituko
 
Hahaha hata kama ni Kiki jamani, me hayo majina waloitana sasa ganda la ndizi vs Asha ngedere. Ningenuna kwa kweli teh, ngoja tusubirie collabo yao
Unajua Nuhu na Shilole wako radhi wapigane hadharani kutafuta kick..
 
Back
Top Bottom