Bora wabakie tu hapa hapa maana huko kijijini watatuharibia wanaume vipukiziYaani bado nnatafakari...
Magufuli afukuze wavulana hawa mjini...wawafukuzie maporini hukoo
Eeehh dogo usilie, vumilia tu wacha dawa ikuingie. Ushawahi kuona nyumba ina banda la kunguru? Kwanini Ulitema pipi kwa karanga za kuonjeshwa?Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602
Yaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyuHuyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
Si watakufa huko poriniYaani bado nnatafakari...
Magufuli afukuze wavulana hawa mjini...wawafukuzie maporini hukoo
Hahaha kwa uandishi huu [emoji1][emoji1] bado unalilia kupostiwa [emoji13][emoji13][emoji13]nduki sirudiHii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602
Huwa wanacheck afya kweli?Huyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hheeeee kwa shilole nae kwa bana tunasubiri atakaejaza nafasiView attachment 582781
Shishi amekana eti hiyo akaunt sio ya uchebe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]