Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Hivi Mwanaume utalalamikaje kua haujatimiziwa ahadi na mwanamke??
So anakiri wazi kua alimuacha Mkewe sababu ya hili Gurunyembe??

tujikumbushe list ya Wanaume waliowahi kua wa Shilole
1) Barnaba,
2) Baba Levo
3) Nuhu Mziwanda
4) Hamadai
5) Boy Carlo
6) Nuhu tena
7) Ashraf Uchebe
8) ......

Taarifa za ndani zinadai kua sababu Uchebe kapigana chini na Shishi, na Nuhu nae kapigana chini na Mkewe Bi. Nawal basi kuna hati hati wakarudiana kwa mara ingine tena.
 
Huyu dogo hajielewi?
Ameshakuwa maarufu sasa, so what?
Maisha hayaletwi na woman ajue kisha afahamu kuwa mwanaume haingizwi katika ulevi au uhuni na mwanamke bali mwanaume ndio humfanya woman kuwa kondoo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hheeeee kwa shilole nae kwa bana tunasubiri atakaejaza nafasi
Screenshot_20170906-191854.png
 
Huyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
Yaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana
 
Uchebe aliona nuhu anafaidi kaenda kumpokea akaze hajui kama shishi anatafuta hela kwa nguvu za kuwatunza anauza hadi wali majamaa yatulie
 
Back
Top Bottom