Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shishi naye anachezea watoto wa watu anawaacha jomoni
 
Ladytheboss mungu anakuona,nilikuomba niwe kaserengeti boy kako ila mpaka leo hujanijibu!!....sijafunga pm yangu kwa hiyo naomba nijibu please!!
 
Nilishasema ukihudumiwa na mwanamke yoyote ata awe mkeo, fedhea na majivuno kutoka kwake, na kudhalilishwa ni vitu vya kufikia,
 
Kila mwanamke wataka awe wako,,anyway ladyb ana chura?
Wala sitaki kila mwanamke awe wangu but the strategy is natongoza randomly na atakaekubali basi namchagua huyohuyo!!.....ladytheboss sijui kama chura ipo ila akinikubalia ombi langu basi nitampeleka kwanza kwenye zoezi la kumkagua!!
 
Huyo dogo naye fala tu. Yan kumbe alikua na mke halafu ana ahidiwa na mwanamke mwinge mambo kama hayo.

Mwanaume lazima ule kwa jasho sasa inapokua tofauti ndio matokeo yake hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…