ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Huyo uchebe sijui mchebe kazi anayoShishi amekana eti hiyo akaunt sio ya uchebe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo uchebe sijui mchebe kazi anayoShishi amekana eti hiyo akaunt sio ya uchebe
Tutake radhi...sio woteeti nikamuacha mke wangu sababu ya kuahidiwa umaarufu.halafu anaandika kama vile kaonewa,aisee nyie wanaume wa dar nyinyi
Ana mitala ya wanaume shishi babeHuyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
Huyu siyo mwanaume ni mtoto wa Dareti nikamuacha mke wangu sababu ya kuahidiwa umaarufu.halafu anaandika kama vile kaonewa,aisee nyie wanaume wa dar nyinyi
Kila mwanamke wataka awe wako,,anyway ladyb ana chura?Ladytheboss mungu anakuona,nilikuomba niwe kaserengeti boy kako ila mpaka leo hujanijibu!!....sijafunga pm yangu kwa hiyo naomba nijibu please!!
Mtaani kwenu wapi mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo shilole yupo relationship pia na dogo mmoja mwenye miaka 20 mtaani kwetu,hata picha ninazo mwezi ulionao walienda kujitambulisha kwa wazazi wake huyo dogo
Wala sitaki kila mwanamke awe wangu but the strategy is natongoza randomly na atakaekubali basi namchagua huyohuyo!!.....ladytheboss sijui kama chura ipo ila akinikubalia ombi langu basi nitampeleka kwanza kwenye zoezi la kumkagua!!Kila mwanamke wataka awe wako,,anyway ladyb ana chura?
Ndugu achana na kitu muhogo wa Jang 'ombeYaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana