Shilole ni mnafiki sana

Shilole ni mnafiki sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu mama ntilie Shilole ni mnafiki sana na kwa mwendo huu atazidi kuumbuka tu hapa mjini na ma project yake yasioeleweka mbele wala nyuma.

Tangu harmonize ajitoe WCB ,Shilole hakauki kwenye insta ya harmonize kwa ku comment comment hovyo na asilimia kubwa ya comment zake ni madongo kwa WCB .

Kwa jinsi inavyoonesha ile kukosa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha ya Wasafi ndicho haswa kinachomuuma roho na ndio maana mara kadhaa alikuwa akilalamika kwa nini hapewi nafasi ya kutumbuiza katika matamasha ya Wasafi.

Shilole anachoshindwa kujua ni kwamba hakuna chochote alichokiacha kwenye muziki kwa kifupi muziki umemkataa ndio maana akaona bora afanye shughuli tu za umama ntilie.

Hata kipindi cha mwanzoni kipindi anawika ,kitu pekee kilichokuwa kinampa jina ni kule kucheza cheza uchi jukwaani, skendo za hapa na pale ,sasa baada ya kuolewa na kuamua kupunguza mambo machafu ndio kabisa akafa kimuziki kwa sababu kipaji alikuwa hana .

images%20(2).jpeg
images%20(4).jpeg
prima-1.jpeg
 
Mtindo wake tu wa kuendelea kuwa spotlighted.
 
Kutoa msanii yataka uwe na moyo hasa wa kupotezea
 
Unapata faida gani unapopost picha ya mtu kama hivyo? Let's say shilole ni dada yako ungeona ni sawa?

La pili kila mtu ana haki yake, kama ww unaona yuko kwa konde ww nenda kwa wcb si kila mtu na aina ya maisha aliyochagua
 
Back
Top Bottom