Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Haha! Kila mtu sikuhizi ni mwandishi.na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali
Jr[emoji769]
Kama Lusinde,Msukuma wameweza yeye nani mpk ashindwe? wasomi wametuangusha na kutufelisha acha watu wajaribu kwa wanaoona ni sahihi kwao....ni bora nichague darasa la saba kama shishi kuliko kuchagua msomi poyoyo kama Kabudi...Yaan Kweli shishi babe nae awe mbunge kwelii
- ataweza Changia hoja nyeti na reference za kutosha.
- shilole ata fedha za jimbo anajua nini maana yake na matumizi kweli.
- kweli huyu dada ataweza ata address tatizo la ajira kwa vijana ilihali yeye ni zao bobevu la ujasiriamali
-kweli kweli
- Sisemi kwa ubaya wala wivu ila kihalisia hana leadership character and ability. Akipita bora nichome mavyeti na niende somalia nikafanye mambo mengine.
Numbisa acha kumuonea wivu shilole."Mwanamuziki nguli"tena wa kimataifa. Shuaini zake domo akatuharibia watu kila mtu ataitwa wa kimataifa hata kama aliimba barazani
Kwa hela nyingi alizonazo anaanzaje kufilisika
Haaaaa 😂 Nimecheka jamaniYani kuuza biriani sahani 5 tayari ni mfanya biashara mkubwa tanzania??
Poor gsm[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiwe "mchoyo" anaweza kupata viti maalum.
Hata akiwa na umbo kama pipa, ila naniliu ipo palepale. Testosterone hainaga ubaguzi.Kwa umbo lile kwa sasa hata wasira hawezi tafuna pale, kawa hovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kingwendu nae si alitakaga kugombea ubunge
Ni haki yake lakiniYani kuuza biriani sahani 5 tayari ni mfanya biashara mkubwa tanzania??
Poor gsm[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unaweza ona tunaandaa kizazi kipi.Baadhi yetu Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana, yaani badala ya kushabikia vitu au watu wenye maarifa ambao kwa namna moja au nyingine watatukwamua mtu anaenda kumchagua mtu kulingana na shape yake anayoitangaza mitandaoni au mambo ya hovyo anayoyaeneza mitandaoni bila kufikiri athari wanazopata vijana kupitia hao watu 'maarufu'
Nakazia, haohao viongozi wasomi ndio wezi wa EPA, Richmond, Escrow.Kama Lusinde,Msukuma wameweza yeye nani mpk ashindwe? wasomi wametuangusha na kutufelisha acha watu wajaribu kwa wanaoona ni sahihi kwao....ni bora nichague darasa la saba kama shishi kuliko kuchagua msomi poyoyo kama Kabudi...
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali
Jr[emoji769]
Kwa hela nyingi alizonazo anaanzaje kufilisika
Asante sana mkuu,wasomi wa taifa hili ni janga kubwa sanaNakazia, haohao viongozi wasomi ndio wezi wa EPA, Richmond, Escrow.
Wasomi hakuna chochote cha maana walichotufanyia kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app