Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
Haha! Kila mtu sikuhizi ni mwandishi.
 
Yaan Kweli shishi babe nae awe mbunge kwelii
- ataweza Changia hoja nyeti na reference za kutosha.
- shilole ata fedha za jimbo anajua nini maana yake na matumizi kweli.
- kweli huyu dada ataweza ata address tatizo la ajira kwa vijana ilihali yeye ni zao bobevu la ujasiriamali
-kweli kweli
- Sisemi kwa ubaya wala wivu ila kihalisia hana leadership character and ability. Akipita bora nichome mavyeti na niende somalia nikafanye mambo mengine.
Kama Lusinde,Msukuma wameweza yeye nani mpk ashindwe? wasomi wametuangusha na kutufelisha acha watu wajaribu kwa wanaoona ni sahihi kwao....ni bora nichague darasa la saba kama shishi kuliko kuchagua msomi poyoyo kama Kabudi...
 
Baadhi yetu Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana, yaani badala ya kushabikia vitu au watu wenye maarifa ambao kwa namna moja au nyingine watatukwamua mtu anaenda kumchagua mtu kulingana na shape yake anayoitangaza mitandaoni au mambo ya hovyo anayoyaeneza mitandaoni bila kufikiri athari wanazopata vijana kupitia hao watu 'maarufu'
Hapa unaweza ona tunaandaa kizazi kipi.
 
Inategemea ni chama gani! Kuna vyama vingine huwa vinapitisha watu wa ajabu sana

Hivi yule kibabaji ni wa chama gani
 
Ataachaje kugombea wakati anapita mulemule anakopita Harmonize kumtukuza mtukufu wa magogoni. Ni hilo tu mtukuze sana mtukufu kesho unaambiwa ugombee kwenu kama Harmonize. Na yeye si ndiye mwenyekiti, basi uhakika unao tayari.


Huyohuyo anayewachagiza wagombee kwenye uwaziri anateua wasomi kutoka vyuoni anawateua kuwa wabunge kisha anawapa uwaziri kwa sababu anafahamu vyema bungeni hakuna wabunge wenye weledi ndio hao akina Harmo na Shilole.
 
Why not wa poti, sky is the limit, hata katiba ya muungano ya serikali ya TZ inakuruhusu, kangelejalolo, utafanikiwa tu...
 
Tatizo sio shilole au mleta mada ,kwani shilole na livingstone lusinde tofauti yao ni nn,labda mwingine mwanamke namwingine mwanaume au mfano harmonize......TATIZO ni KATIBA yetu .ingekua imara usinge sikia popote kunabandiko hapa ,ila kwakua ni churo basi lazima tuone mauchuro mengi......yaaaaaan rais pekeake ndo awe ana kadigro hatakamoja ,inakerasana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Lusinde,Msukuma wameweza yeye nani mpk ashindwe? wasomi wametuangusha na kutufelisha acha watu wajaribu kwa wanaoona ni sahihi kwao....ni bora nichague darasa la saba kama shishi kuliko kuchagua msomi poyoyo kama Kabudi...
Nakazia, haohao viongozi wasomi ndio wezi wa EPA, Richmond, Escrow.

Wasomi hakuna chochote cha maana walichotufanyia kama taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom