Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu


Shilole anaenda kugpmbea kwa Chama gani?
 
siku hizi hatuangalii kichwani una nn ila tunaangalia FAME. 2025 tutaanza kuteua wenye makalio makubwa hivyo sanchi, poshyqueen na wengineo wajiandae.... #CCM_MPYA.
 
Lakini si anajua kusoma na kuandika😅😅....Lakini Bunge latakiwa liwe na amsha amsha za vichwa sio wagonga Yokozuna.
 
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.

Naona aibu kwa niaba ya wanamuziki nguli kama Mbaraka Mwinshehe,Dr Remmy etc.

Ubunge imeshakua sehemu ya loosers so atapata tu all the best mwanamuziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania
 

Naunga mkono hoja.
 
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
Wenye hekima wataurithi utukufu, Bali kukuzwa kwa wapumbavu ni fedheha.
Mithali 3:35

Midomo ya mwenye haki hulisha watu wengi; Bali wapumbavu hufa kwa kuwa hawana ufahamu.
Mithali 10:21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…