Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti vitoke vichwa kama Zito, Lissu, Mbowe, Bulaya, Mdee, Mnyika hata Nape afu tuletewe kina Hamonize, Shilole, Wema, Diamond na vilaza wengine wakijani! Hivi tuko siriaz kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimecheka sana.
Dah ila kwenye hii nchi lolote linawezekana si unaona mzee lyatonga kalalamikalalamika kaongezewa shavu
Kawe tunaenda na Gigy money
Hakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.
Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.
Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.
Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni moja ya ilaniJazeni wasanii... Maana Ccm hamna tena hoja za maendeleo zaidi ya kusifu na kuabudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.
Hakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.
Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.
Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.
Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haleluya!Na iwe hivyo kweli!HAPA KWETU ARUSHA TUTAMPELEKA DOGO JANJA BUNGENI
Wenye hekima wataurithi utukufu, Bali kukuzwa kwa wapumbavu ni fedheha.na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali
Jr[emoji769]
Nguli wa nini?