Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a Shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.
 
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
 
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.
Hata muuza karanga nae ni mfanyabiashara manake anawauzia watu wengi kweli kweli japo anauza miamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
Angeandika hata biashara yake

Kwa mfano mfanya biashara mkubwa wa kuuza maembe na machungwa

sasa hizi biashara kubwa za gizani nadhani zina walakini
 
Nchi imeshajifia hii bado kuzikwa ... Uongozi ni taaluma Kama ilivyo udaktari au Uhandisi.. Uongozi ni sehemu nyeti kwa maendeleo ya nchi unapoona low minded wanapewa fursa ya kuongoza taifa ujue hata maendeleo yatakuwa in low milestone....


Sishangai waliweka kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe umeona eeh. Umaarufu ni ticket ya mafanikio Tanzania. Huoni hata Amberrutty. Amberrutty sasa hivi ana maisha mazuri kuliko mwalimu wa primary shagihilu.
Baadhi yetu Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana, yaani badala ya kushabikia vitu au watu wenye maarifa ambao kwa namna moja au nyingine watatukwamua mtu anaenda kumchagua mtu kulingana na shape yake anayoitangaza mitandaoni au mambo ya hovyo anayoyaeneza mitandaoni bila kufikiri athari wanazopata vijana kupitia hao watu 'maarufu'
 
Na wewe umeona eeh. Umaarufu ni ticket ya mafanikio Tanzania. Huoni hata Amberrutty. Amberrutty sasa hivi ana maisha mazuri kuliko mwalimu wa primary shagihilu.

Wee nawe una maneno jmn. Khaaaaa...!
 
Mfanyabiashara Nguli Shilole hahahahaha

Merikebu yetu imevamiwa Safari hii
 
dah! shilole nae ni nguli & na wakimataifa???
mkuu umejidhalilisha sana kupitia huu uzi wako
 
Yaan Kweli shishi babe nae awe mbunge kwelii
- ataweza Changia hoja nyeti na reference za kutosha.
- shilole ata fedha za jimbo anajua nini maana yake na matumizi kweli.
- kweli huyu dada ataweza ata address tatizo la ajira kwa vijana ilihali yeye ni zao bobevu la ujasiriamali
-kweli kweli
- Sisemi kwa ubaya wala wivu ila kihalisia hana leadership character and ability. Akipita bora nichome mavyeti na niende somalia nikafanye mambo mengine.
 
Back
Top Bottom