Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata muuza karanga nae ni mfanyabiashara manake anawauzia watu wengi kweli kweli japo anauza miamiaMwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.
Angeandika hata biashara yakena mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali
Jr[emoji769]
Na wewe umeona eeh. Umaarufu ni ticket ya mafanikio Tanzania. Huoni hata Amberrutty. Amberrutty sasa hivi ana maisha mazuri kuliko mwalimu wa primary shagihilu.Watu walitakuwa kuongozwa na watu wenye weledi na ufahamu wa mambo hasa ya kitaaluma, ila Tanzania umaarufu ndio humpa kura mtu, smh
Baadhi yetu Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana, yaani badala ya kushabikia vitu au watu wenye maarifa ambao kwa namna moja au nyingine watatukwamua mtu anaenda kumchagua mtu kulingana na shape yake anayoitangaza mitandaoni au mambo ya hovyo anayoyaeneza mitandaoni bila kufikiri athari wanazopata vijana kupitia hao watu 'maarufu'Na wewe umeona eeh. Umaarufu ni ticket ya mafanikio Tanzania. Huoni hata Amberrutty. Amberrutty sasa hivi ana maisha mazuri kuliko mwalimu wa primary shagihilu.
Na wewe umeona eeh. Umaarufu ni ticket ya mafanikio Tanzania. Huoni hata Amberrutty. Amberrutty sasa hivi ana maisha mazuri kuliko mwalimu wa primary shagihilu.