Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Shilole: Nitagombea ubunge uchaguzi wa mwaka huu

Hamorapa apewe BARIADI 😂 alitoe joka la makengeza na ile timu ya .....



Everyday is Saturday..........😎
 
Yaan Kweli shishi babe nae awe mbunge kwelii
- ataweza Changia hoja nyeti na reference za kutosha.
- shilole ata fedha za jimbo anajua nini maana yake na matumizi kweli.
- kweli huyu dada ataweza ata address tatizo la ajira kwa vijana ilihali yeye ni zao bobevu la ujasiriamali
-kweli kweli
- Sisemi kwa ubaya wala wivu ila kihalisia hana leadership character and ability. Akipita bora nichome mavyeti na niende somalia nikafanye mambo mengine.
usivuke daraja kabla hujalifikia
 
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
😂 😂 😂 😂 😂 mwanamziki mkubwa, mwanamziki nguli
 
na mfanyabiashara mkubwa Tanzania.. [emoji848][emoji848][emoji848]..... Tunawaandikia watu wenye macho na akili zao kamili... Hatuwandikii majuha wala ng'ombe... Tujaribu kuandika kitu chenye uhalisia tafadhali

Jr[emoji769]
Elimu, umri, uelewa wa mtoa mada vinaukakasi kidogo
 
Angeandika hata biashara yake

Kwa mfano mfanya biashara mkubwa wa kuuza maembe na machungwa

sasa hizi biashara kubwa za gizani nadhani zina walakini
Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo kila mtu anaingia katika tasnia ya siasa si kwa sababu ya kusaidia jamii bali kulinda maisha yake. Tumeshuhudia wafanyabiashara walivyoharibu nchi baada ya kuanza kuingia Bungeni. Walibariki rushwa kwa kuiita TAKIRIMA ikawa baraa bila fedha upate nafasi ya siasa. Lakini pia walitunga sheria za TAX EXEMPTION kwa miaka 5 kwa wawekezaji na tulishuhudia namna majina ya kampuni alivyokuwa yanabadilishwa kila baada ya miaka 5. Mfano, Sheraton Hotel ilibadilika jina kila baada ya muda fulani na leo sijui inaitwa Serena! Wakaingia tena kundi la wasomi na hwajasaidia hata kutatua tatizo la elimu nchini Tanzania, elimu inazidi kuwa mbaya tangu msingi hadi vuo vikuu! Wasanii nao ni wale wale hawajasaidia tasnia yao kuleta tija kila kukicha wasanii wanalia kwa kazi zao kuibiwa!
 
N
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a Shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye uchaguzi Huu wa mwaka 2020.
Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom