Akachukue Mercedes benz type G v12 ndio funga kaziV8 ni type ya engine ambayo LC wanayo kwa series zao kama 200, 300 lakini pia Nissan wana V8 , RR wana V8 shilole kutoka igunga anajua alphard tu ndio gari maana anabebea masufuria na hotpot zake labda na ubwabwa ukibaki,
We umeagiza ngapi kwenye hizo 16 mkuu?Kila mtu ashinde mechi zake
Huyu mshamba anaijua
The new Range Rover SV 'Lansdowne Edition ambayo inaenda £250k ?
2023, zitakuwa kumi na sita tu...sasa gari sare sare Kama mashuka ya kimasai za nini
Sina uwezo wa kuagizaWe umeagiza ngapi kwenye hizo 16 mkuu?
Tutaweka wapi mazagazaga au hutakiwi uyabebe humo uagizie on line mpk mlangoni hahahahGari haitakiwi kua na Buti, haitakiwi kuzidi Seat 2
Vinginevyo ni chombo Cha usafiri kama sio cha moto
Alisikika Bill Lugano A.KA Kiduku lilo [emoji16]
Kwakweli..na magari mengi yanaoongoza kwa viraka mfano taa imegongwa,rangi imechubuliwa au bampa linaning'a ni IST... sijawahi kuona Range ikiwa na fujo au vurugu zozote barabarani compared to IST, Forester, and the like. Those guys (Range owners) are so humble hadi unashangaa!
Mazaga zaga kodi gari ya mizigo[emoji1]Tutaweka wapi mazagazaga au hutakiwi uyabebe humo uagizie on line mpk mlangoni hahahah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu kila mtu ana range na gorofa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wengi wakisikia Range Rover wanajua ni zile wanazoendesha wasanii yaani Sports za mwaka 2005 au Evoque kama za kina Mobetto.
Malkia nani tena anatumia RR?Ni kwa bongo tu, lakini wasanii hollywood USA mpaka Qeen Elizabeth UK wanatumia Range Rover.
Tukiacha hizi Range zetu za 2006/7 na hizi Evoque.
Tatizo la Range kuonekana za kawaida ni bei kushuka kwa kasi ndani ya muda mdogo hii inatokana na hizi gari kuwa over engineered to the point waka sacrifice issue ya reliability, kiuhalisia Range ilitengenezwa kwa ajili ya watu wenye status na uwezo kuliko LC.
Dokta Msukuma amefunga mjadala nadhani.