Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Mkuu huyu hatuwezi Wanaume wa dasalamu mwache akachukuwe hao vibamia ya mikoani huko.nenda katafute mshamba mwenzio
Huu ni msimu wa mavuno ya tumbaku, anataka kwenda kukusanya za wakulima wa tumbaku halafu anawaacha solembaEti Igunga? Wote washaumia na tumbaku...anaweweseka huyu mtoto
Uliza swaliMkuu hujaeleweka.
kwikwikwi.... mna choo cha shimo au za kizungu?Usipate shida nipo hapa ninaekula ugali mkubwa kisha n chovyea kwnye mdogo kama mboga
Kwan ame sex na wanaume wote wa Dar? Kwanza wote tunatokea mikoani huku Tumefuata Elimu na Ajira Tu by the way mtu kama huyo kashachezewa sana haoni raha ya wanaume bora Dildo Machine ajikune vizur ntamuuzia nnae MTU anaeuzaHii ni kashfa kubwa sana kwa wanaume wa darisalama,mimi mwanzoni nilifikili wanawaonea tu kumbe ni kweli?jamani jamani mtaificha wapi hii aibu?
Tatizo mnakula sana chips mayai,hata mkikutana na za wasichana wadogo kabisa bado mtachemsha tu.
Kama kweli mrembo huyu kayasema haya ni UKWELI BILA CHECNGA hapa juzi tu nilikuwa nikimueleza dogo fulani humu JF kuwa Chipsi yai na vialaini vinawamaliza Wanaume wengi hasa Dsm na kupotesha heshima ya nyumba zao na tuliyopewa na Mungu.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume.
Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa wanaume wa mjini kwa vile ni wavivu bora aende Igunga kumpata mwanaume atakayeweza kufanya kazi kutokana na vyakula asili anavyokula.
“Wanaume wa mjini wamezoea chipsi mayai, hawawezi chochote bora wa kijijini wanakula dona na wana akili za kufikiria,” alisema Shilole.
Shilole alikuwa akitoka kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda.
Source: Bongo Movie