KERO Shimo kubwa barabara ya Mwembe Yanga linahatarisha usalama wa watumia barabara

KERO Shimo kubwa barabara ya Mwembe Yanga linahatarisha usalama wa watumia barabara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Salam Wadau!

Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom