A Anonymous Guest Jul 12, 2025 #1 Salam Wadau! Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
Salam Wadau! Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.