Shindano kwa wapishi wa JF

The Boss tunapo plan chakula tunazingatia makundi haya:
1;umri
2:aina ya kazi
3:wagonjwa katika stage tatu
4:vegetarian
5:mazingira
sasa tuzingatie kigezo kipi

Ahsante sana I was about to ask same question...
 
Last edited by a moderator:
Hiv huyu mnyamwezi alishatoa zawadi kwa aliyeshinda au alikuwa anatuumiza vichwa tu hapa?
Cc KOKUTONA na washiriki wenzangu wote
Bcc The Boss kwa ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Hiv huyu mnyamwezi alishatoa zawadi kwa aliyeshinda au alikuwa anatuumiza vichwa tu hapa?
Cc KOKUTONA na washiriki wenzangu wote
Bcc The Boss kwa ufafanuzi

Amepotea mazima huyu bin adamu, hata sijui zawadi ataibuka nazo lini.......tulivojituma sasa kuweka menu za ukweee
 
Nimependaje menyu yakooo jamanniii..nije nikupe visit lini asee
 
Nimependaje menyu yakooo jamanniii..nije nikupe visit lini asee
karibu wakati wowote. Hivi shindano liliisha jamani maana sikumaliza menu yangu kwa ajili ya kuwa occupied. sijui mshindi alikuwa nani.
 
karibu wakati wowote. Hivi shindano liliisha jamani maana sikumaliza menu yangu kwa ajili ya kuwa occupied. sijui mshindi alikuwa nani.

imalizie tu menu yako,deadline ni ni aprili mwisho wa mwezi
 
The Boss iiiiiiiiiiiiiiiii,
come this way bhana!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss menu hiyo ya week unamaana na Kipato cha hata Mtz anayeishi chini ya 1$ ?????
Maanaa naona kwa Mtz wa kawaida akila 1wk menu ya Kaunga na snowhite kwa wk 51 zilizobaki hawatakula tena
 
Last edited by a moderator:
Juice ya uyoga plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…