Haahhahhahhaha ulijuaje? Lol😉😉😉
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahhahhahhaha ulijuaje? Lol😉😉😉
mi thi nakuona bana! mamii unapenda kufanya kitchen kuwa laboratory wewe!! heeee!!
ila hongera mama!
Hivi katika mchakato huu tumezingatia kwa ajili ya familia au mtu mmojammoja@The Boss kama ni kwa familia tena hizi za kwetu za kiafrika basi bado watu hawajaitendea haki hii topic yako kwanza kwa kuzingatia hali yz uchumi na hali ya hewa.Hivi kweli fikiria upike mashed potato na scrambled egg kwa kuli au mwanafunzi eti lunch au breakfast inakuja kweli?
B: Ndizi mzuzu za kukanga (zilizoiva kidogo) & chai
L: Steamed vegetable & fresh juice
D: Fried fish, chips & salad
D2
B: Mayai ya kuchemshwa & fresh juice
L: Fruit salad & mtindi
D: Mashed potatoes & chicken stew
D3
B: Viazi vitamu vya kuchemshwa na mchaichai
L: mishikaki & salad
D: Coconut fish curry & cassava
D4
B: Fruit smoothie
L: Kitimoto & salad
D: Ndizi za kupikwa na nyama ngombe (mshale mgumu) & spinach pembeni
D5
B: Mayai ya kukaanga, sosegi & chai
L: Mchemsho wa kuku na ndizi
D: Beef stew & baked potatoes
D6
B: Mtoriii
L: Mchemsho wa samaki na veggies
D: Maharage ya nazi & yam
D7
B: Uji wa ulezi
L: Roast ya firigisi za kuku & ndizi choma
D: Nyama ya ngombe choma & fried vegetables
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima
wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...
sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina
watanzania wengi huwa tunakula zaidi wali na ugali..
na asubuhi ni ngano zaidi
vyakula hivyo sio vya kiafya sana kwa watu hasa umri unapoenda
ni source kubwa ya unene na magonjwa ya kisukari.....
sasa atakae shinda zawadi itatangazwa.....hapo siku ya mwisho ambayo ni
mwisho wa february...
kazi kwenu..
ok..ngoja niongeze maelezo
nataka menu ya wiki nzima
mfano unasema jumatatu watu watakula hivi asubuhi,mchani hivi,jumanne hivi
so iwe ya wiki nzima ila usiwepo wali wala ugali ,wala vyakula vya ngano....
majaji watakuwa wasomaji hapa mwisho tutawauliza menu ipi inafaa kiafya..
Leo ndiyo mwisho wa mwezi mkuu, mshindi ni nani?
Marekebisho kidogo, kama chakula ni cha familia nzima kuondoa kabisa wanga hauoni si jambo zuri kiafya?!! hasa kwa watoto. Kama ni menu kwa ajili ya watu wanaofanya diet sawa, lakini menu ya familia hauwezi kuinyima wanga kiasi hicho, muhimu ni kuweka proportion zinazotakiwa kwa kila aina ya chakula!
Naombeni radhi kwa kupotea
sasa mshindi atatangazwa april....last week ya april
tuendelee na shindano
na wale waliouliza vyakula vya kizungu
yes viwepo ili mradi viwe vinapatikana sokoni kkooo kwa mfano
au Tanzania.....
CYBERTEQ , umeniacha hoi. Usijali utazoea, kila kitu kina mwanzo wake ujue🙂)Dada BelindaJacob
siku nzima sijagusa wanga si utaniuwa mwenzio!
Yaani asubuhi nimekula mayai na juisi halafu lunch ni mboga za majani na maziwa, lazima niibukie nyumba ndogo nikajazie! Menu ya jioni safi, matunda yawepo ya kutosha tu.
Ya leo nimeipenda, usisahau kuweka mtindi, mboga za majani na matunda hapo asubuh
Hivi wanga ndy ulishaupiga arufuku kabisa hapa nyumbani? watoto wanahitahtaji sana wanga maana ndy wanakua
saafi sana, lakini viazi mchana na ndizi jioni ungeangalia ustaarabu kidogo wangu
Hapo kwenye magibi hakyamungu leo siondoki nyumbani, usisahau juice ya parachichi
Rahaaa, lakini jioni mtu wangu tutalalia mmboga tu? chomeka hata chipsi kidogo bana!
Pia usiwe unasahau matunda ya kutosha kwenye kila mlo!
Ukishindwa sema hapa nifuate pm