Shindano kwa wapishi wa JF

Shindano kwa wapishi wa JF

Nimejifunza pakubwa,asante mkuu The Boss
 
Last edited by a moderator:
mimi nitakuwa muonjaji maana kuna watu wanapika wanajaza pilipili ili wale wenyewe
 
Hivi katika mchakato huu tumezingatia kwa ajili ya familia au mtu mmojammoja@The Boss kama ni kwa familia tena hizi za kwetu za kiafrika basi bado watu hawajaitendea haki hii topic yako kwanza kwa kuzingatia hali yz uchumi na hali ya hewa.Hivi kweli fikiria upike mashed potato na scrambled egg kwa kuli au mwanafunzi eti lunch au breakfast inakuja kweli?

inakuja my dr,cz ni mlo mwepesi,af mtoa mada lengo lake ni kuibua vyakula kando ya wali na ugali tulozoea sana
kwa mazingira ya kupika, nyumbani yawezekana kabisa,..
 
Dada BelindaJacob
B: Ndizi mzuzu za kukanga (zilizoiva kidogo) & chai
L: Steamed vegetable & fresh juice
D: Fried fish, chips & salad

siku nzima sijagusa wanga si utaniuwa mwenzio!

D2
B: Mayai ya kuchemshwa & fresh juice
L: Fruit salad & mtindi
D: Mashed potatoes & chicken stew

Yaani asubuhi nimekula mayai na juisi halafu lunch ni mboga za majani na maziwa, lazima niibukie nyumba ndogo nikajazie! Menu ya jioni safi, matunda yawepo ya kutosha tu.

D3
B: Viazi vitamu vya kuchemshwa na mchaichai
L: mishikaki & salad
D: Coconut fish curry & cassava

Ya leo nimeipenda, usisahau kuweka mtindi, mboga za majani na matunda hapo asubuh

D4
B: Fruit smoothie
L: Kitimoto & salad
D: Ndizi za kupikwa na nyama ng’ombe (mshale mgumu) & spinach pembeni

Hivi wanga ndy ulishaupiga arufuku kabisa hapa nyumbani? watoto wanahitahtaji sana wanga maana ndy wanakua

D5
B: Mayai ya kukaanga, sosegi & chai
L: Mchemsho wa kuku na ndizi
D: Beef stew & baked potatoes

saafi sana, lakini viazi mchana na ndizi jioni ungeangalia ustaarabu kidogo wangu

D6
B: Mtoriii
L: Mchemsho wa samaki na veggies
D: Maharage ya nazi & yam

Hapo kwenye magibi hakyamungu leo siondoki nyumbani, usisahau juice ya parachichi

D7
B: Uji wa ulezi
L: Roast ya firigisi za kuku & ndizi choma
D: Nyama ya ng’ombe choma & fried vegetables

Rahaaa, lakini jioni mtu wangu tutalalia mmboga tu? chomeka hata chipsi kidogo bana!

Pia usiwe unasahau matunda ya kutosha kwenye kila mlo!
 
Last edited by a moderator:
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima
wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...

sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina
watanzania wengi huwa tunakula zaidi wali na ugali..

na asubuhi ni ngano zaidi

vyakula hivyo sio vya kiafya sana kwa watu hasa umri unapoenda

ni source kubwa ya unene na magonjwa ya kisukari.....

sasa atakae shinda zawadi itatangazwa.....hapo siku ya mwisho ambayo ni

mwisho wa february...

kazi kwenu..

ok..ngoja niongeze maelezo
nataka menu ya wiki nzima
mfano unasema jumatatu watu watakula hivi asubuhi,mchani hivi,jumanne hivi
so iwe ya wiki nzima ila usiwepo wali wala ugali ,wala vyakula vya ngano....

majaji watakuwa wasomaji hapa mwisho tutawauliza menu ipi inafaa kiafya..

Leo ndiyo mwisho wa mwezi mkuu, mshindi ni nani?
Marekebisho kidogo, kama chakula ni cha familia nzima kuondoa kabisa wanga hauoni si jambo zuri kiafya?!! hasa kwa watoto. Kama ni menu kwa ajili ya watu wanaofanya diet sawa, lakini menu ya familia hauwezi kuinyima wanga kiasi hicho, muhimu ni kuweka proportion zinazotakiwa kwa kila aina ya chakula!
 
Nasubiri kwa hamu...nione ntakwapua namba ngapi....
 
Leo ndiyo mwisho wa mwezi mkuu, mshindi ni nani?
Marekebisho kidogo, kama chakula ni cha familia nzima kuondoa kabisa wanga hauoni si jambo zuri kiafya?!! hasa kwa watoto. Kama ni menu kwa ajili ya watu wanaofanya diet sawa, lakini menu ya familia hauwezi kuinyima wanga kiasi hicho, muhimu ni kuweka proportion zinazotakiwa kwa kila aina ya chakula!

nakubaliana na wewe..kiuhalisia utakuwa unaweka wali na ugali na ngano of coz,
japo ilikuwa nzuri ku-experience the difference coz tumezoea wali na ugali sanaaa yani...hadi inaboa
Wanga upo aina nyingi i.e mihogo,viazi,gimbi,ndizi nk
... The Boss,utu'mention majina na criteria za kuchagua mshindi..
 
Last edited by a moderator:
Hehe NB:JF chef readers...vote for my menu..imepangiliwa vizurii sanaa mtaipenda
 
The Boss who is the winner tuko March sasa..

atakaeshinda chagua menu moja ya Lunch au Dinner then
I will cook for You, uwe mgeni kwangu hiyo siku
 
Last edited by a moderator:
Mh nahisi shachelewa lol..ila hii ngumu jaman kusiwepo ugali..wali wala ngano
 
Naombeni radhi kwa kupotea
sasa mshindi atatangazwa april....last week ya april
tuendelee na shindano
na wale waliouliza vyakula vya kizungu
yes viwepo ili mradi viwe vinapatikana sokoni kkooo kwa mfano
au Tanzania.....
 
Natamani kusema
but anyways;

Naombeni radhi kwa kupotea
sasa mshindi atatangazwa april....last week ya april
tuendelee na shindano
na wale waliouliza vyakula vya kizungu
yes viwepo ili mradi viwe vinapatikana sokoni kkooo kwa mfano
au Tanzania.....
 
Dada BelindaJacob

siku nzima sijagusa wanga si utaniuwa mwenzio!

Yaani asubuhi nimekula mayai na juisi halafu lunch ni mboga za majani na maziwa, lazima niibukie nyumba ndogo nikajazie! Menu ya jioni safi, matunda yawepo ya kutosha tu.

Ya leo nimeipenda, usisahau kuweka mtindi, mboga za majani na matunda hapo asubuh

Hivi wanga ndy ulishaupiga arufuku kabisa hapa nyumbani? watoto wanahitahtaji sana wanga maana ndy wanakua

saafi sana, lakini viazi mchana na ndizi jioni ungeangalia ustaarabu kidogo wangu

Hapo kwenye magibi hakyamungu leo siondoki nyumbani, usisahau juice ya parachichi

Rahaaa, lakini jioni mtu wangu tutalalia mmboga tu? chomeka hata chipsi kidogo bana!

Pia usiwe unasahau matunda ya kutosha kwenye kila mlo!
CYBERTEQ , umeniacha hoi. Usijali utazoea, kila kitu kina mwanzo wake ujue🙂)
Menu hii haitakiwi wanga kabisa..(naona ulivyotikisa kichwa kuashiria kusikitika)
 
Back
Top Bottom