Shindano la big brother lina maudhui gani?

Na ushukuru Mungu haukuelewa, ungethubutu kuelewa huenda leo hii ungekua ni mmoja wa watu wanaokimbiza sana huko Ista kwa mapicha na marangirangi😃
Kwanini ningekuwa nakimbiza insta 😄
 
ETI KWENDA NA WAKAT!!
#FOOL
 
Gafla nimemkumbuka Bhoke. Looong time ago, I mean zaidi ya muongo mmoja uliopita alituabishaga sana wabongo kwenye Big brother Africa hahahaaa yule binti bana dah.
 
DSTV channel no 198 kama sijakosea
Niliwahi angaliaga hii, nilichokiona ni kuwa artificial life style ndo imetawala niliitafsiri ni kama show ya ku fake sana maisha na ukiwa mfuatiliaji uliepitiliza unaeza jikuta una apply ulichokiona mule, sikuwahi kuifualltilia kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…