The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
- Thread starter
- #21
We unaona kawaida iyo? Yani konda ang'ang'anie chenji?Ukaona ulete Uzi Kweli hapa
Embu tafuta kisa kingine hi hapna haitaki mjadla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaona kawaida iyo? Yani konda ang'ang'anie chenji?Ukaona ulete Uzi Kweli hapa
Embu tafuta kisa kingine hi hapna haitaki mjadla
Muosha huoshwaKwa hiyo umeacha elfu 30 kwa huyo msumbufu wako wa kazi, ila hutaki kuacha 200 kwa konda?
Jamaa alikuwa anapima kina Cha maji tu. Alivoona maji marefu ikabidi awe mpoleHuo ndio uanaume usiwe mnyonge kwenye haki yako
Lkn zingatia wahi kumshambulia adui kwa mapigo ya haraka
Amini kwamba kamkubwaStory za kutunga hizi Brother...
Asa wao wanaona kubwa ila kwa abiria hawaon kama ni kubwa100, 200 inaonekana ndogo! Lakini usiombe yakukute upande daladala na nauli pungufu ya 100 au 200 utajuta!
Ndo uanaume
Akhsante
No ilikuwa MwengeMwembe chai
Muosha huoshwa, Kila shetani na mbuyu wakeSasa huo umwamba wako muonyeshe nayule aliekutafutia kazi, uache kuja kulia lia humu. Au ndio Kila mbabe na mbabe wake.
Dah mzee, mda mwingine inabidi uoneshe uanaume wakoSometimes ni kuacha tu.. hiy 200 inaweza kukupa hasara zaidi.
Kuchaniwa shati
Kuharibu vifaa au kupoteza kbs
Kupoteza hela zaidi ya 200 na vitambulisho
Kuumia (reception)
Kuingia hasara kulipa fidia mali za watu
Kuwa moja ya Memes (utarekodiwa na kuzagaa mitandaoni)
Yaan implications ni nyingi..... dunia ya sasa kuwa mnyonge baridi.. yaan ujue kulipiza kisasi bila direct contact na aggressor..
Sure mzee ..bati haiachwiHata kama ungekuwa don, akupe bati yako
Soon...mwaka huu hauishiShindwa aisee nunua hata kastalet au passo uache dhambi
Amna man, wao nao wanaangalia kama ni mnyonge wanakuchukulia point tatuNilishajifunza hawa makonda sio watu wa kufanya nao ligi hawako sawa vichwani.
Kuna bro alipanda na demu wake akaanza ligi na konda. Demu wake badala ya kumtuliza bro akaanza kumchochea na wote wakaamsakama konda. Mimi nilikaa karibu na demu nikamshauri amtulie bro asimchochee, demu akanigeukia na mimi akaanza kunipayukia. Yule konda akapandwa na jazba akamziba demu kibao cha mdomo. Bro akaingilia konda alikuwa fiti akawatia wote mikononi. Tingo naye akaingilia kati kumtetea konda.
Kifupi bro akachaniwa shati tumbo lote wazi. Nikamwambia dada kama ungemtuliza bro msingefika hapo
Kimtndo tu sio sana😂😂😂 Dah mkuu nimecheka sana asee stori yako inafurahisha sasa shati halinachafuka kweli?
Na Mimi niunganishe na kazi my dearWataalam,
Leo nmepanda daladala hapa dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Yeah so?Ww si unalipwa mil 30 kwa mwaka?
Ndo inavyotakiwaUmefanya vizuri sana.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue