The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
- Thread starter
- #41
Dah ata usiombee, hizi kazi za masimango kinoma Bora kubaki joblessNa Mimi niunganishe na kazi my dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ata usiombee, hizi kazi za masimango kinoma Bora kubaki joblessNa Mimi niunganishe na kazi my dear
Yeah, Hawa ndo ivo...ni kuwakazia tu. Ukikaa kinyonge wanakuchukulia point tatuMimi nilitokewa na tukio tofauti na lako. Nilitoa elfu 10 akate mia 500 sasa akaniambia huna hela ndogo nikamwambia sina ninayo iyo iyo, jamaa akakasirika eti kwanini nimetoa hela kubwa akanirudishia hela yangu huku kanuna kinoma.
Mm nikanyamaza kama vile hakijatokea chochote sasa msala ukaja wakati nataka kushuka jamaa akanigeukia akaniambia hushuki apa ww si unajifanya mjanja mimi nikamwambia hela sinimekupa ukarudisha sasa apo mjanja ni nani kati yangu mm au ww nikamwambia nishushe apo akakaza hashushi sema sasa kulikuwa na abiria kadhaa nao wanashuka na mm nikashuka nao eti akawa ananizuia nisishuke. Nikampiga kikumbo nikamrusha nje akaenda mpaka chini mm nikashuka nikasimama nimsubiri afanye anachotaka kufanya, ila nahisi aliingia uwoga akapanda kwenye gari akaondoka na mm nikaondoka zangu nikiwa sijalipa nauli.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
hiyo daressalam mimi inanifahamu vizuri sana.....miaka hiyo nimemaliza chuo nimeenda dar kutafuta kazi, nimetoka mishemishe nimepanda gari naelekea gheto kinondoni, konda akang'ang'ania chenji yangu nilitegeshea ile mida nashuka ndani ya gari😁😁, si unajua makonda huwa wana tabia ya kusimama mlangoni!..nilimkata ngumi ya kifuani mpaka abiria wakazizima halafu nikatoka nimekimbia😂😂😂......Wataalam,
Leo nmepanda daladala hapa dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Sasa angalau niipate hata hiyo ya masimango dear Hali ngumu huku mtaani dada ako nadhalilikaDah ata usiombee, hizi kazi za masimango kinoma Bora kubaki jobless
Alafu makunda walivyo wangese unamuomba Kwa sauti ya chini anakunibu Kwa sauti kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]100, 200 inaonekana ndogo! Lakini usiombe yakukute upande daladala na nauli pungufu ya 100 au 200 utajuta!
Dah Mwizukulu mgikuru na wewe ?hiyo daressalam mimi inanifahamu vizuri sana.....miaka hiyo nimemaliza chuo nimeenda dar kutafuta kazi, nimetoka mishemishe nimepanda gari naelekea gheto kinondoni, konda akang'ang'ania chenji yangu nilitegeshea ile mida nashuka ndani ya gari[emoji16][emoji16], si unajua makonda huwa wana tabia ya kusimama mlangoni!..nilimkata ngumi ya kifuani mpaka abiria wakazizima halafu nikatoka nimekimbia[emoji23][emoji23][emoji23]......
Bro !! Mjini hqpa ni bora kuwa mjinga , hiyo 200 uliyokuwa unapambania ungeweza kuingia kwenye mtego wa mateja ukapoteza hadi simu.Wataalam,
Leo nmepanda daladala hapa dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Watu wanatembea na magonjwa yao siku hizi unmgusa mtu kidogo anaanguka unapataHuo ndio uanaume usiwe mnyonge kwenye haki yako
Lkn zingatia wahi kumshambulia adui kwa mapigo ya haraka
Ilikuwa lzm utukane mitusi hivyo?Wataalam,
Leo nmepanda daladala hapa dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Konda hana cha kupoteza halafu hawa wa dar wana suppprt kubwa ya mateja wapiga debe. Ukilianzisha timbwili cha kwanza wanakusachiNilishajifunza hawa makonda sio watu wa kufanya nao ligi hawako sawa vichwani.
Kuna bro alipanda na demu wake akaanza ligi na konda. Demu wake badala ya kumtuliza bro akaanza kumchochea na wote wakaamsakama konda. Mimi nilikaa karibu na demu nikamshauri amtulie bro asimchochee, demu akanigeukia na mimi akaanza kunipayukia. Yule konda akapandwa na jazba akamziba demu kibao cha mdomo. Bro akaingilia konda alikuwa fiti akawatia wote mikononi. Tingo naye akaingilia kati kumtetea konda.
Kifupi bro akachaniwa shati tumbo lote wazi. Nikamwambia dada kama ungemtuliza bro msingefika hapo
Yaani kule kazini ni mchumba wa jamaa aliyekutafutia kazi kwenye daladala unavimba kisa 200 kwa Bwana wako umeacha 30k.Wataalam,
Leo nmepanda daladala hapa dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Aah c'mon mkuu tumia bas ata tafsidaYaani kule kazini ni mchumba wa jamaa aliyekutafutia kazi kwenye daladala unavimba kisa 200 kwa Bwana wako umeacha 30k.
Aah Yan mwanaume kamili saa 11 alfajiri kitu inadinda niogope mateja wanaolewa unga wanasinzia wamesimama saa 7 jua linawaka?Konda hana cha kupoteza halafu hawa wa dar wana suppprt kubwa ya mateja wapiga debe. Ukilianzisha timbwili cha kwanza wanakusachi
Aaah kwenye mbwai lazima uwe mbwai....au ulitaka niwlanze kuhubiri kumbaya na Upendo kwenye vuta ya visu na mapanga?Ilikuwa lzm utukane mitusi hivyo?
Makonda wawili mlikutana, wote hamjasitarabika!
Ukiachana na hizo stress....Mzee kwahyo 200 ngemuachia tu konda?Chanzo cha huo ugomvi wala sio hiyo 200 bali ni stress zako kwa huyo mtu uliyemuachia elfu 30 ambae alikuunganisha kazi,temana na huyo jamaa atakupa stress na mwisho wake utakua sio mzuri.
Dada angu una degree gan?Sasa angalau niipate hata hiyo ya masimango dear Hali ngumu huku mtaani dada ako nadhalilika
Unadhani teja atarusha ngumi? Teja anapigana na bisi bisi mixer viwembeAah Yan mwanaume kamili saa 11 alfajiri kitu inadinda niogope mateja wanaolewa unga wanasinzia wamesimama saa 7 jua linawaka?