Shingi 200 leo kidogo inivue utu

Yeah, Hawa ndo ivo...ni kuwakazia tu. Ukikaa kinyonge wanakuchukulia point tatu
 
hiyo daressalam mimi inanifahamu vizuri sana.....miaka hiyo nimemaliza chuo nimeenda dar kutafuta kazi, nimetoka mishemishe nimepanda gari naelekea gheto kinondoni, konda akang'ang'ania chenji yangu nilitegeshea ile mida nashuka ndani ya gari😁😁, si unajua makonda huwa wana tabia ya kusimama mlangoni!..nilimkata ngumi ya kifuani mpaka abiria wakazizima halafu nikatoka nimekimbia😂😂😂......
 
Chanzo cha huo ugomvi wala sio hiyo 200 bali ni stress zako kwa huyo mtu uliyemuachia elfu 30 ambae alikuunganisha kazi,temana na huyo jamaa atakupa stress na mwisho wake utakua sio mzuri.
 
Dah Mwizukulu mgikuru na wewe ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Bro !! Mjini hqpa ni bora kuwa mjinga , hiyo 200 uliyokuwa unapambania ungeweza kuingia kwenye mtego wa mateja ukapoteza hadi simu.
 
Ilikuwa lzm utukane mitusi hivyo?
Makonda wawili mlikutana, wote hamjasitarabika!
 
Konda hana cha kupoteza halafu hawa wa dar wana suppprt kubwa ya mateja wapiga debe. Ukilianzisha timbwili cha kwanza wanakusachi
 
Yaani kule kazini ni mchumba wa jamaa aliyekutafutia kazi kwenye daladala unavimba kisa 200 kwa Bwana wako umeacha 30k.
 
Konda hana cha kupoteza halafu hawa wa dar wana suppprt kubwa ya mateja wapiga debe. Ukilianzisha timbwili cha kwanza wanakusachi
Aah Yan mwanaume kamili saa 11 alfajiri kitu inadinda niogope mateja wanaolewa unga wanasinzia wamesimama saa 7 jua linawaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…