Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

Angalia vizuri. Hao wanaoubeba mwili wamevaa gloves.
 
Waliovaaa sare hua wanapewaga mafunzo maalumu kwa kila tahadhari...na walipopigiwa simu waje walijua kabsa hawaji kwenye sherehe bali kuchukua marehem wa ajali na siyo kutegea wakidai wanajilinda...Ok anyaway ishatokea tayr, la muhimu tukumbushane!
 
huyo ni mtu aliyekufa tu wananchi kumshika kisa amekufa si vibaya na kuanza kusema atawaambikiza magonjwa ni kumnyanyapaa marehemu tu mtu huyo alikuwa kazini kakanyangwa tu na aanze kuambukiza magonjwa ? fikiri vizuri
Nimefikiri Mkuu ila ukiangalia picha bado risk ni kubwa..usiangalie mkono tuu!
 
Na bukta na malapa pia ila hao wengine wamevaa nguo za kazi, kazi yao ni kusimamamia watu tuuu
Miguu na viuono havishiki hiyo maiti hivyo ni ngumu kuwa contaminated. Hao manjagu hapo naona wote wametinga nguo za kiofisi si zile za hekaheka(jungle dress) labda ndio maana wanaogopa kuchafua suti zao.
 
Kwa hiyo Polisi ndio waambukizwe?
 
Naona Wananchi wengi wapo kwenye Vazi la Yeboyebo pamoja na Ndala, inaonekana Shinyanga hali ni ngumu kweli kweli.

R.I.P...Kondakta Athumani.
Shinyanga si rafiki kule kiuchumi!
Nimepita 2014, hali ilikua tete..sasa kwa picha ya leo naona angalau!
 
Au alikua pombe,maana Happ ni kwenye mlango wa kutokea na haiwezekani Basi lilikua speed,Basi linapoanza kutoka stendi likifika Happ husimama kusubiri ruksa ama hupunguza Sana mwendo wakati dreva akisubiri ishara ya kusimamia ama aendelee kutoka,na Happ ndo makondakta huwa wanadandia,
Huyu atakua alikuwa tungi akamisjudge distance na kuishia uvunguni
 
The Humble Dreamer,
Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Ni kweli unachoongea lakini kwa sisi tulivyo ukiongea tu hapo ni kosa,unaweza piga mpaka ufe unajifanya matawi. Kumbe kiafya ni kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…