Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

Hawa watu makonda akili zao hazina uwezo kabisa. Uwa nakaa najiuliza kipi kinamfanya aliache gari linaondoka ndio akimbilie. Ama anashuka mita 10 kabla ya kituo. Pole yake marehemu Athuman. Kumbe sio konda ni wakala wa basi nilidhani konda nikawajumlisha kwa wingi na kusema Makonda hawana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. .Halafu kuna uwezekano kuwa alisahau kuchukua nauli kwa abiria kwa akafukuza gari na kulidandia ili akachukue chake ndio yakampata hayo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.
Kwa wasiofahamu mazingira ya Stand hii, wanaweza wakamlaumu Marehemu. Stand hii, ina askari, ambao wana chumba chao. Pia, Trafiki nao wana chumba chao, ambacho kipo kwenye geti la kutokea magari, ambapo ndipo alipokanyagiwa marehemu. Kwenye picha hiyo, huo ukuta wenye maandishi, kwa kushoto ndipo ulipo mlango wa hao Trafiki. Na pia, hapo ndipo ulipo mnyororo wa kuzuia magari kabla ya kutoka.
Lakini, ni kawaida magari kuingia na kuondoka kwa kasi, huku hao polisi wakishuhudia. Hapo alipokanyagwa marehemu, ni ndani ya stand.
Binafsi, nishashuhudia watu wakiuwawa na mabasi, hii ajali ni ya tatu. Mwaka jana, kuna mtu aligongwa kwenye mlango wa kuingilia na kufa, na mwingine alikanyagwa hapo hapo alipokanyagwa mtu leo.
Na imekuwa ni kawaida, mabasi kuwaacha abiria ambao wameenda kujisaidia, kwani yanakuwa na haraka, na kwa vile yanafukuzana.
Sina shaka, hao Trafiki na polisi wao wangekuwa wanatimiza wajibu wao, yaani mabasi yaingie na kuondoka kwa mwendo wa taratibu ndani ya stand, hizi ajari zingeweza kuepukika.

Waliovaaa sare hua wanapewaga mafunzo maalumu kwa kila tahadhari...na walipopigiwa simu waje walijua kabsa hawaji kwenye sherehe bali kuchukua marehem wa ajali na siyo kutegea wakidai wanajilinda...Ok anyaway ishatokea tayr, la muhimu tukumbushane!
Hao jamaa wanaomhifadhi huyo marehemu, ni WABEBA MIZIGO hapo stand. Wakati huo, pamoja na kuwa ilikuwa ni asubuhi, walikuwa tayari wameshapiga K VANT. Bila hivyo, sidhani kama wangeiweza hiyo kazi. Kwani marehemu, alitumbuliwa kabisa tumbo, kiasi kwamba utumbo ulisambaa chini. Sehemu kubwa ya hao askari, walikuwepo hapo stand wakati wa ajali. Walichofanya ni kuwalipa kiasi fulani cha fedha hao "KAGO"!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.
Kwa wasiofahamu mazingira ya Stand hii, wanaweza wakamlaumu Marehemu. Stand hii, ina askari, ambao wana chumba chao. Pia, Trafiki nao wana chumba chao, ambacho kipo kwenye geti la kutokea magari, ambapo ndipo alipokanyagiwa marehemu. Kwenye picha hiyo, huo ukuta wenye maandishi, kwa kushoto ndipo ulipo mlango wa hao Trafiki. Na pia, hapo ndipo ulipo mnyororo wa kuzuia magari kabla ya kutoka.
Lakini, ni kawaida magari kuingia na kuondoka kwa kasi, huku hao polisi wakishuhudia. Hapo alipokanyagwa marehemu, ni ndani ya stand.
Binafsi, nishashuhudia watu wakiuwawa na mabasi, hii ajali ni ya tatu. Mwaka jana, kuna mtu aligongwa kwenye mlango wa kuingilia na kufa, na mwingine alikanyagwa hapo hapo alipokanyagwa mtu leo.
Na imekuwa ni kawaida, mabasi kuwaacha abiria ambao wameenda kujisaidia, kwani yanakuwa na haraka, na kwa vile yanafukuzana.
Sina shaka, hao Trafiki na polisi wao wangekuwa wanatimiza wajibu wao, yaani mabasi yaingie na kuondoka kwa mwendo wa taratibu ndani ya stand, hizi ajari zingeweza kuepukika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maelezo yako yanajitosheleza kua ni ushauri sahihi unaotakiwa kufanyiwa kazi. Hapo stendi kuna haja ya kubadilisha utaratibu..hii pia ni kwa wasimamizi wengine wa stendi za mabasi!
 
Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.
Kwa wasiofahamu mazingira ya Stand hii, wanaweza wakamlaumu Marehemu. Stand hii, ina askari, ambao wana chumba chao. Pia, Trafiki nao wana chumba chao, ambacho kipo kwenye geti la kutokea magari, ambapo ndipo alipokanyagiwa marehemu. Kwenye picha hiyo, huo ukuta wenye maandishi, kwa kushoto ndipo ulipo mlango wa hao Trafiki. Na pia, hapo ndipo ulipo mnyororo wa kuzuia magari kabla ya kutoka.
Lakini, ni kawaida magari kuingia na kuondoka kwa kasi, huku hao polisi wakishuhudia. Hapo alipokanyagwa marehemu, ni ndani ya stand.
Binafsi, nishashuhudia watu wakiuwawa na mabasi, hii ajali ni ya tatu. Mwaka jana, kuna mtu aligongwa kwenye mlango wa kuingilia na kufa, na mwingine alikanyagwa hapo hapo alipokanyagwa mtu leo.
Na imekuwa ni kawaida, mabasi kuwaacha abiria ambao wameenda kujisaidia, kwani yanakuwa na haraka, na kwa vile yanafukuzana.
Sina shaka, hao Trafiki na polisi wao wangekuwa wanatimiza wajibu wao, yaani mabasi yaingie na kuondoka kwa mwendo wa taratibu ndani ya stand, hizi ajari zingeweza kuepukika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa najiuliza kwa nn hesabu haifungwi nje ya bus?

Hii ishakuwa mazoea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa wanaomhifadhi huyo marehemu, ni WABEBA MIZIGO hapo stand. Wakati huo, pamoja na kuwa ilikuwa ni asubuhi, walikuwa tayari wameshapiga K VANT. Bila hivyo, sidhani kama wangeiweza hiyo kazi. Kwani marehemu, alitumbuliwa kabisa tumbo, kiasi kwamba utumbo ulisambaa chini. Sehemu kubwa ya hao askari, walikuwepo hapo stand wakati wa ajali. Walichofanya ni kuwalipa kiasi fulani cha fedha hao "KAGO"!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee[emoji2960][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaokoa muda..na mara nyingi gari likianza kuondoka, ndy wateja wanaibuka sijui wanatoka wapi
Abiria anaangalia bus inayowai kuchomoa,,

Kwa mfano hapo kuna Allys inayoenda Dsm, ila cha ajabu watu wanangojea bus za Mwz, lakini hiyo Allys inayoazia hapo inakutwa njian na bus za Mwz. Kuna siku nlipanda Tungis ila cha ajabu Allys dragon tumempita pale kabla ya igunga, asa nikajiuliza alitoka shy mda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom