The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #81
Unaweza kua wa pili wewe kuwaelimisha unao waona baada ya njia hii ya mtandaoniElimu inahitajika wamezoea sana kufanya mambo hayo
R.i.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kua wa pili wewe kuwaelimisha unao waona baada ya njia hii ya mtandaoniElimu inahitajika wamezoea sana kufanya mambo hayo
R.i.P
Kifo huleta uwoga!Askari wa nyuma mwenye V tatu anaangalia kwa uoga balaa. RIP Agent
Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?
Na bukta na malapa pia ila hao wengine wamevaa nguo za kazi, kazi yao ni kusimamamia watu tuuu
The Humble Dreamer,
Wakati mwingine ni bahati mbaya tu maana mtu hiyo ni kazi yake ya kila siku, tusikike mbali kwa vile amekufa mtu. Inawezekana kabisa muda wa kifo chake umefika na kwa vile hatujui mambo ya kifo na siku ya kufa tunaweza kuongea mengi wakati ni mambo ya kawaida na bahati mbaya pia pole kwao
Rest in peace brother Athuman, last week alinikatia tiket ya kuja dar pale nyegezi daah[emoji24]Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Athumani amefariki dunia mara baada ya kukanyagwa na gari hilo katika stendi kuu ya mabasi ya Shinyanga, mwili wake umepelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zinasema kua Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Dar es Salaam lilimkanyaga Ajenti Athumani wakati akirukia kwenye Basi hilo na kisha kuangukia uvunguni mwa Basi na kukanyagwa na kufariki dunia hapo hapo.
View attachment 1400793
Polisi wako pembeni wanaangalia tu.
Pia wanaoonekani pichani wakimsaidia marehemu ni wananchi wakawaida sana, mashaka yangu ni je, wana uelewa wa kutosha juu ya maambukizi ya magonjwa ama virusi pindi ikitokea ajali ilihali wenye mavazi mazuri wamesimama wakitazama kama viongozi waelekezi tu?.....
Ushauri: Hii tabia ya kurukia gari au kushuka kwenye gari wakati gari hilo likiwa kwenye motion ni hatari sana. Watu wengi hufanya hivyo ili kuokoa muda au kuonyesha wepesi ila fahamu unahatarisha uhai wako. Ni vema usubiri gari lisimame ushuke.
Subhana llahHuyu jamaa baada ya kukanyagwa na Kisbo, mabasi mengine mawili yamempitia juu hali iliyopelekea kusagika kabisa.
Haya mabasi yalikuwa yanafukuzana kutoka getini. Amekufa kifo kibaya sana.
RIP Athuman
Maisha ni fumbo sana hasa linapokuja swala la kifo!Rest in peace brother Athuman, last week alinikatia tiket ya kuja dar pale nyegezi daah[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoea hujenga tabiaMi wkati mwingine nawashaangaaga hata makonda utakuta anasubiri gari ianze kuondoka ndo arukie,ikiwa imesimama hapandi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo bwana ,Hakina Hodi kabisa.
Inawezekana Marehem alikua ameshazoea kabisa kuruka namna hiyo!!
Pumzika kwa Amani ndugu.
"What is yours will always be yours no matter what "
Wakongwe wakikwambia kuwa muelewa,Niwekwe lupango kwa sababu ipi 1954?
Niambie sasabu ya msingi ya mimi kuwekwa lupango maana hiyo ni taarifa kama zingine
Acha tu mkuu, nilkaa almost lisaa ofisin kwake tunapiga story tu, jamaa alikuwa mcheshi sana na utani mwingi daah.Maisha ni fumbo sana hasa linapokuja swala la kifo!
Polee Mkuu