Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia vizuri. Hao wanaoubeba mwili wamevaa gloves.Mkuu, nadhani maana yake hapa ni kuwa inawezekana ndugu yetu aliyefariki damu yake ilikuwa na Ukimwi na hao wenzetu waliokimbilia kumsaidia labda onawezekana mmoja akawa na mkwaruzo tu mkononi...damu ya huyo marehemu ikimpata tu kwenye kidonda maana yake ni kuwa naye tayari yupo kwenye hatari ya kupata maambukizi...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliovaaa sare hua wanapewaga mafunzo maalumu kwa kila tahadhari...na walipopigiwa simu waje walijua kabsa hawaji kwenye sherehe bali kuchukua marehem wa ajali na siyo kutegea wakidai wanajilinda...Ok anyaway ishatokea tayr, la muhimu tukumbushane!Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?
Nimefikiri Mkuu ila ukiangalia picha bado risk ni kubwa..usiangalie mkono tuu!huyo ni mtu aliyekufa tu wananchi kumshika kisa amekufa si vibaya na kuanza kusema atawaambikiza magonjwa ni kumnyanyapaa marehemu tu mtu huyo alikuwa kazini kakanyangwa tu na aanze kuambukiza magonjwa ? fikiri vizuri
Na bukta na malapa pia ongezea!Mbona wamevaa gloves. Why tunapenda kulaumu sana? Rudi anagalia hiyo picha vinzuri, hao watu wamevaa gloves.
Na bukta na malapa pia ila hao wengine wamevaa nguo za kazi, kazi yao ni kusimamamia watu tuuuAngalia vizuri. Hao wanaoubeba mwili wamevaa gloves.
Wapiga debe na kondakta hata abiria wamelewa na kilevi na kurukia gari, ni vyema kufata hatua inavyotakiwaNawafahamu jamaa wawili walikuwa wanafanya ubungo terminal walifariki kwa style hii ya kurukia basi
Mwishowe walikosea stape na kuishia kukanyagwa na gari na kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Miguu na viuono havishiki hiyo maiti hivyo ni ngumu kuwa contaminated. Hao manjagu hapo naona wote wametinga nguo za kiofisi si zile za hekaheka(jungle dress) labda ndio maana wanaogopa kuchafua suti zao.Na bukta na malapa pia ila hao wengine wamevaa nguo za kazi, kazi yao ni kusimamamia watu tuuu
Kwa hiyo Polisi ndio waambukizwe?Polisi wako pembeni wanaangalia tu.
Pia wanaoonekani pichani wakimsaidia marehemu ni wananchi wakawaida sana, mashaka yangu ni je, wana uelewa wa kutosha juu ya maambukizi ya magonjwa ama virusi pindi ikitokea ajali ilihali wenye mavazi mazuri wamesimama wakitazama kama viongozi waelekezi tu?.....
Ahaha..Basi Mkuu kila mmoja awe makiniKwa hiyo Polisi ndio waambukizwe?
Shinyanga si rafiki kule kiuchumi!Naona Wananchi wengi wapo kwenye Vazi la Yeboyebo pamoja na Ndala, inaonekana Shinyanga hali ni ngumu kweli kweli.
R.I.P...Kondakta Athumani.
Ni kweli unachoongea lakini kwa sisi tulivyo ukiongea tu hapo ni kosa,unaweza piga mpaka ufe unajifanya matawi. Kumbe kiafya ni kosa.The Humble Dreamer,
Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Haya mambo kwao ni ya kawaida sana (Japo ni risky kubwa sana), ila kifo kikifika kimefika tu. Tonge la ugali ulilolila kwa miaka na miaka linaweza kukukaba na kukuua,
R.I.P
Asante kwa mchango wako.Hizi ndizo akili zinazowafanya watu waendekeze kila aina ya uzembe.
Ajali ina kinga.
Sent using Jamii Forums mobile app