Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

Huyu jamaa baada ya kukanyagwa na Kisbo, mabasi mengine mawili yamempitia juu hali iliyopelekea kusagika kabisa.

Haya mabasi yalikuwa yanafukuzana kutoka getini. Amekufa kifo kibaya sana.

RIP Athuman
Kafa kifo kizuri Sana ,Kama angegongwa na Basi Moja may be angekatika katika halafu asingekufa mateso yake yangekua maradufu kipindi chote cha maisha yake ,Bora Basi la pili lilivyommalizia now hasikii Tena maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna gloves wala mask.. Hakuna pia special disposable bag ya kubebea maiti hasa iliyosagika hivyo.. Everyday is the school day, keep learning and improve..
 
Kama hujui kwa kuiweka picha hii humu mtandaoni unaweza kujikuta uko lupango...subiri uone
 
Acha kutisha watu bwana hiyo picha source ni itv
Ndugu yangu Mimi nakupa ushauri tu kitaaluma na kiuzoefu...Kama unabisha na kukomaa Sina tatizo ndugu yangu...naomba radhi...
 
Hao ni hodari kukong'oli wapinzani tu.
 
Pamoja na kwamba kila kifo kina sababu ila vifo vingine nivyakizembe. Alafu hii tabia yakudandia gari wakati inatembea imeshamiri sana. unakuta kama ni konda gari limesimama katulia tu chini ya gari likianza kuondoka ndo anaanza kulikimbiza, alafu wakati mwingine wako karibu watatu sasa najiulizaga wanaakili kweli.Anyway pumzika salama Agent.
 
Muhusika alitakiwa aripoti polisi ili waweze kumsaidia.
 
Askari wa nyuma mwenye V tatu anaangalia kwa uoga balaa. RIP Agent
 
Kuna vifo ambavyo mazingira yake tunatengeneza sis..mfn kuna boda boda mmoja aliingia uvunguni mwa semi kisa spidi zisizo eleweka..nia ni kupata attention isiyo na msingi, kufatlia anakoenda,hakukua na sababu ya kukimbiza sana...baada ya muda tukaanza kusema 'marehem alipita hapa mda si mrefu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…