The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
-
- #101
Maisha ya namna gani Bro?Jamaa wa stand huwa wana maisha flani hivi, japo sio wote! Mungu amsamehe dhambi, atujaalie mwisho mwema pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya Maisha ni kumwomba tu Mungu, unaonana na mtu muda fulan kumbe huo muda mlionana ndy mlikua mnaagana hivyo!Acha tu mkuu, nilkaa almost lisaa ofisin kwake tunapiga story tu, jamaa alikuwa mcheshi sana na utani mwingi daah.
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleniAcha tu mkuu, nilkaa almost lisaa ofisin kwake tunapiga story tu, jamaa alikuwa mcheshi sana na utani mwingi daah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.. .Halafu kuna uwezekano kuwa alisahau kuchukua nauli kwa abiria kwa akafukuza gari na kulidandia ili akachukue chake ndio yakampata hayo....

😂😂😂 kuna watu mbingu mtaisikia tu haki! Loool! R.i.P Marehemu.
Hao jamaa wanaomhifadhi huyo marehemu, ni WABEBA MIZIGO hapo stand. Wakati huo, pamoja na kuwa ilikuwa ni asubuhi, walikuwa tayari wameshapiga K VANT. Bila hivyo, sidhani kama wangeiweza hiyo kazi. Kwani marehemu, alitumbuliwa kabisa tumbo, kiasi kwamba utumbo ulisambaa chini. Sehemu kubwa ya hao askari, walikuwepo hapo stand wakati wa ajali. Walichofanya ni kuwalipa kiasi fulani cha fedha hao "KAGO"!Waliovaaa sare hua wanapewaga mafunzo maalumu kwa kila tahadhari...na walipopigiwa simu waje walijua kabsa hawaji kwenye sherehe bali kuchukua marehem wa ajali na siyo kutegea wakidai wanajilinda...Ok anyaway ishatokea tayr, la muhimu tukumbushane!
Mkuu maelezo yako yanajitosheleza kua ni ushauri sahihi unaotakiwa kufanyiwa kazi. Hapo stendi kuna haja ya kubadilisha utaratibu..hii pia ni kwa wasimamizi wengine wa stendi za mabasi!Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.
Kwa wasiofahamu mazingira ya Stand hii, wanaweza wakamlaumu Marehemu. Stand hii, ina askari, ambao wana chumba chao. Pia, Trafiki nao wana chumba chao, ambacho kipo kwenye geti la kutokea magari, ambapo ndipo alipokanyagiwa marehemu. Kwenye picha hiyo, huo ukuta wenye maandishi, kwa kushoto ndipo ulipo mlango wa hao Trafiki. Na pia, hapo ndipo ulipo mnyororo wa kuzuia magari kabla ya kutoka.
Lakini, ni kawaida magari kuingia na kuondoka kwa kasi, huku hao polisi wakishuhudia. Hapo alipokanyagwa marehemu, ni ndani ya stand.
Binafsi, nishashuhudia watu wakiuwawa na mabasi, hii ajali ni ya tatu. Mwaka jana, kuna mtu aligongwa kwenye mlango wa kuingilia na kufa, na mwingine alikanyagwa hapo hapo alipokanyagwa mtu leo.
Na imekuwa ni kawaida, mabasi kuwaacha abiria ambao wameenda kujisaidia, kwani yanakuwa na haraka, na kwa vile yanafukuzana.
Sina shaka, hao Trafiki na polisi wao wangekuwa wanatimiza wajibu wao, yaani mabasi yaingie na kuondoka kwa mwendo wa taratibu ndani ya stand, hizi ajari zingeweza kuepukika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila at least hii tabia ipungue. Kwa matukio kama haya wanaeza kumbuka kua makini na kazi zao!Kwa makonda na maajenti huo ushauri wako ni theory tu ... Ajali kazini hawajaanza kuruka leo wala jana
Huwa najiuliza kwa nn hesabu haifungwi nje ya bus?Mimi binafsi, nafanyia shughuri zangu stand hiyo ya Shinyanga. Huyo Ajenti aliyefariki, ni kutoka Mwanza. Hivyo, alikuwa AMELISINDIKIZA hilo basi, lakini mpaka walipokuwa wamefika hapa SHY, alikuwa hajakamilisha kukabidhi hesabu zake, ili arudi Mwanza.
Kwa wasiofahamu mazingira ya Stand hii, wanaweza wakamlaumu Marehemu. Stand hii, ina askari, ambao wana chumba chao. Pia, Trafiki nao wana chumba chao, ambacho kipo kwenye geti la kutokea magari, ambapo ndipo alipokanyagiwa marehemu. Kwenye picha hiyo, huo ukuta wenye maandishi, kwa kushoto ndipo ulipo mlango wa hao Trafiki. Na pia, hapo ndipo ulipo mnyororo wa kuzuia magari kabla ya kutoka.
Lakini, ni kawaida magari kuingia na kuondoka kwa kasi, huku hao polisi wakishuhudia. Hapo alipokanyagwa marehemu, ni ndani ya stand.
Binafsi, nishashuhudia watu wakiuwawa na mabasi, hii ajali ni ya tatu. Mwaka jana, kuna mtu aligongwa kwenye mlango wa kuingilia na kufa, na mwingine alikanyagwa hapo hapo alipokanyagwa mtu leo.
Na imekuwa ni kawaida, mabasi kuwaacha abiria ambao wameenda kujisaidia, kwani yanakuwa na haraka, na kwa vile yanafukuzana.
Sina shaka, hao Trafiki na polisi wao wangekuwa wanatimiza wajibu wao, yaani mabasi yaingie na kuondoka kwa mwendo wa taratibu ndani ya stand, hizi ajari zingeweza kuepukika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee[emoji2960][emoji2960]Hao jamaa wanaomhifadhi huyo marehemu, ni WABEBA MIZIGO hapo stand. Wakati huo, pamoja na kuwa ilikuwa ni asubuhi, walikuwa tayari wameshapiga K VANT. Bila hivyo, sidhani kama wangeiweza hiyo kazi. Kwani marehemu, alitumbuliwa kabisa tumbo, kiasi kwamba utumbo ulisambaa chini. Sehemu kubwa ya hao askari, walikuwepo hapo stand wakati wa ajali. Walichofanya ni kuwalipa kiasi fulani cha fedha hao "KAGO"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaokoa muda..na mara nyingi gari likianza kuondoka, ndy wateja wanaibuka sijui wanatoka wapiHuwa najiuliza kwa nn hesabu haifungwi nje ya bus?
Hii ishakuwa mazoea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Abiria anaangalia bus inayowai kuchomoa,,Wanaokoa muda..na mara nyingi gari likianza kuondoka, ndy wateja wanaibuka sijui wanatoka wapi
Na wakati mwingine nao abiria wanarukia gari likiwa kwenye motion ilihali anaeza umia au kufariki!abiria anaangalia bus inayowai kuchomoa
Haya mambo kwao ni ya kawaida sana (Japo ni risky kubwa sana), ila kifo kikifika kimefika tu. Tonge la ugali ulilolila kwa miaka na miaka linaweza kukukaba na kukuua,
R.I.P