DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.